Hivi ITIKADI ya CCM ni ipi?

Hivi ITIKADI ya CCM ni ipi?

Itikadi ya CCM ni kulitumia jeshi la polisi kadri inavyoweza na inavyoamua
 
Kwanza kabisa, tambua alama ya JEMBE na NYUNDO ktk bendera yao na ktk alama zao zote za kutekeleza sera na malengo yao ndio utapata jibu sahihi bila chembe ya shaka kuwa 'CHAMA CHA MAPINDUZI'...KINAPINDUA HAKI, MALIA ASILI, KINATUMIA JEMBE KUCHIMBA NA KUKUSANYA HIFADHI NA MALI ASILI ZA UMMA, NA NYUNDO INATUMIKA KUVUNJA-VUNJA NA KUBOMBOA MADINI, USTAWI WA RAIA, UTAJIRI WA WATANZANIA Milioni 40++ kwa miaka yote 50++ kwa nia ya kujenga utajiri wao, genge la wachache na kumiliki haki za taifa!! Sura YA BENDERA na mavazi yao ya Kijani maana yake ni 'WAO WANAJISTAWISHA', 'WAMEKAA KTK RUTUBA'!!. Hiyo ndiyo maana ya CCM ya JEMBE na NYUNDO, vifaa ambavyo ndio sura ya ITIKADI YAO...yaani mwelekeo wao wa kifikra, na kimaadili! Huwezi kuitenganisha CCM au mwana-CCM yeyote, na yaliyoelezwa juu, awe mtoto au baba yake, au babu yake ili mradi yupo genge la CCM! Wizi mtupu..uharamia..ufilisi wa mali ya umma! potelea mbali hata taifa likiangamia, ili mradi wao wanastawi..' ndiyo kijani'!!
 
Ilikuwa ni UJAMAA na KUJITEGEMEA,hiyo ikazaa MWENYE NGUVU AISHI (RUKSA),hiyo haikufanikiwa kupata mtoto,so sasa inatafutwa iwe ipi kati ya FAMILIARIZATION au NDOVURIZATION au MASOGANGEZ,lakini toka ile ndoa na jamaa kule ng'ambo nadhani labda WALIBERALI.
 
Back
Top Bottom