Wapendwa,
Nimekuwa nikifuatilia sana mwenendo na hali ya nchi inavyoendelea!
Inavyoonekana by chance or design, mawazo yanayoletwa humu JF yana-impact decision making kwenye system.
Juzi , Nchimbi alisema ' hata watu katika mitandao wanataka...' hapa nikahisi inawezekana kufikia maamuzi yake alipata inputs kutoka kwenye mitandao, JF ikiwa mojawapo.
Tumekuteua kwenda kuwapa NISHANI ya uongozi uliotukuka BI SHYROSE BANJI na BI SOFY MWANA WA SIMBA.
Ni rahisi kugundua msimamo rasmi wa CHADEMA ukifuatilia comments za watu humu JF ( ambao wengi wao ni Pro-CDM).
Sasa chukulia CDM imeshinda uchaguzi (God Forbid!):
- Hizi dharau na kejeli za kidini na kikanda ndizo zitakuwa order of the day serikalini?
- Wale unprivilleged ambao hata sasa wanachekwa humu JF watasalimika kwenye utawala wa CHADEMA?
- Sioni dalilli wala juhudi yeyote ya viongozi wakuu watarajiwa wa CHADEMA wakijitenga na kejeli hizi, je tutegemee kutoka kwenye utawala huo?
wapendwa,
nimekuwa nikifuatilia sana mwenendo na hali ya nchi inavyoendelea!
Inavyoonekana by chance or design, mawazo yanayoletwa humu jf yana-impact decision making kwenye system.
Juzi , nchimbi alisema ' hata watu katika mitandao wanataka...' hapa nikahisi inawezekana kufikia maamuzi yake alipata inputs kutoka kwenye mitandao, jf ikiwa mojawapo.
Ni rahisi kugundua msimamo rasmi wa chadema ukifuatilia comments za watu humu jf ( ambao wengi wao ni pro-cdm).
Sasa chukulia cdm imeshinda uchaguzi (god forbid!):
- hizi dharau na kejeli za kidini na kikanda ndizo zitakuwa order of the day serikalini?
- wale unprivilleged ambao hata sasa wanachekwa humu jf watasalimika kwenye utawala wa chadema?
- sioni dalilli wala juhudi yeyote ya viongozi wakuu watarajiwa wa chadema wakijitenga na kejeli hizi, je tutegemee kutoka kwenye utawala huo?
umeona eheeh?wapendwa,

umeona eheeh?
Ptuuh! Mungu apishe mbali. Na hizo ndoto zao kamwe hatitakaa zitimie.
Ukisoma hoja zao zimetawaliwa na jazba, matusi, dharau na ukristo mtupu. Hata hao viongozi wao waandamizi huoni wakikemea. Bado sana hawa jamaa....