Hapo ongeza i have nothng, saving my love, heart broken hotel..wanna danc with smbdyWhitney aisee ni level nyingine kabisa hasa ngoma kama Greatest love, broken hearts, somebody to dance
Sijui kama kweli but niliwahi sikia nyimbo za Whitney zilikuwa zikitumika kuwaamsha wagonjwa walio kwenye coma
na zimewahi kutumiwa na NASA huko kwenye space....
ss hiyo orodha mbona haifiki 640?
USA baby....View attachment 365973 View attachment 365974 View attachment 365975.
and Canada...for good measure.
Umehamia Canada au ndo kutukumbushia Celine nae yumo? Au wewe fan wa Drake..
Wow,..nishasoma sehemu nyimbo hizi slow jams na instrumental zinasaidia hata watoto kuwa wanajifunza vitu haraka wakiwa wadogoSijui kama kweli but niliwahi sikia nyimbo za Whitney zilikuwa zikitumika kuwaamsha wagonjwa walio kwenye coma
na zimewahi kutumiwa na NASA huko kwenye space....
Hiyo ilikuwa ni rejea ya Celine tu....
Licha ya hivyo Canada ni kama jimbo la USA.
Ukiwa Canada huoni hata tofauti yake na USA ni ipi.
Kuanzia nyumba, majengo, magari, lugha [ukiacha labda kule wanakozungumza Kifaransa].
FYI, baba yake Drake ni Mmarekani.....kutoka Memphis, TN.