Hivi itakuja kutokea duniani muimbaji bora wa kike kama Whitney Houston?!

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
14,528
31,674
Wadau kwa muda wa miaka mingi nimesikiliza muziki wa RnB, Soul na Pop hasa wa wasanii wa kike ila mpaka sasa sijapata wa kumfikia WH! Huyu katika wasanii hakika alikuwa msanii na sidhani kama kuna msanii wa kufikia records alizoweka!
Mpaka anafariki alikuwa kashapata tuzo, 640+ huku akiwa nominated zaidi ya mara 781!!
Mbali na Whitney Houston Wasanii wanaomfatia kwa ubora ni pamoja na

2. Mariah Carey

3. Celine Dion

4. Christina Aguilera

5. Beyonce

6462db0a37784bd65ea396f5799f8e22.jpg


36eecb7c6ffaa7c9e4dd1cc8063d4643.jpg
 
Whitney aisee ni level nyingine kabisa hasa ngoma kama Greatest love, broken hearts, somebody to dance
Hapo ongeza i have nothng, saving my love, heart broken hotel..wanna danc with smbdy

Inshort huyu mama alimaliza kiu ya music tena mkute akiwa jukwaani anavyocheza na sauti u gonna
Kuna kippindi Jennifer hudson alikuwa anakuja kuja well ila stil yupo poa pia.

RIP
 
And I am not afraid to try it on my own
I dont care if I'm right or wrong


May her soul rest in peace.... Whitney alikuwa mkali kuanzia vocals hadi maana ya nyimbo zake ..

Ray c naye anaishia kama huyu mama aseee....unaweza ukawaua wauza madawa ya kulevya kwa jinsi wanavyoviteketeza vipaji
 
Whitney jamani ni mwishooo kwa muelekeo wa mziki ninavyouona kwa sasa hamna wa kumfikia.
Ika Mariah Carey nae alikuwa vizuri sanaaa. Ila sauti naona kwishney

ss hiyo orodha mbona haifiki 640?
 
Umehamia Canada au ndo kutukumbushia Celine nae yumo? Au wewe fan wa Drake..

Hiyo ilikuwa ni rejea ya Celine tu....

Licha ya hivyo Canada ni kama jimbo la USA.

Ukiwa Canada huoni hata tofauti yake na USA ni ipi.

Kuanzia nyumba, majengo, magari, lugha [ukiacha labda kule wanakozungumza Kifaransa].

FYI, baba yake Drake ni Mmarekani.....kutoka Memphis, TN.
 
Sijui kama kweli but niliwahi sikia nyimbo za Whitney zilikuwa zikitumika kuwaamsha wagonjwa walio kwenye coma
na zimewahi kutumiwa na NASA huko kwenye space....
Wow,..nishasoma sehemu nyimbo hizi slow jams na instrumental zinasaidia hata watoto kuwa wanajifunza vitu haraka wakiwa wadogo
 
Hiyo ilikuwa ni rejea ya Celine tu....

Licha ya hivyo Canada ni kama jimbo la USA.

Ukiwa Canada huoni hata tofauti yake na USA ni ipi.

Kuanzia nyumba, majengo, magari, lugha [ukiacha labda kule wanakozungumza Kifaransa].

FYI, baba yake Drake ni Mmarekani.....kutoka Memphis, TN.

Sisi fans wake (Drake) tunamwita mcanada mweusi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom