Hivi ipi asili ya majina haya ya 'Ka' ambayo yapo Tanzania, Rwanda, Burundi, Kongo na Uganda

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,215
3,682
wadau kwa wale watu ambao wametembea sana katika nchi za uganda,congo,burundi na rwanda.

lakini pia kwa hapa tanzania style hii ya haya majina yapo upande wa wahaya,wanyamwezi,waha na wafipa kutoka Rukwa. majina haya ni kama vilee.

1.kafumu

2.kapuya

3.kafulilaa

4.kayanza

5.katunzi

6.kagasheki

7.karamagi

8.kaijagee

9.kagame

10.kaguta

11.kakobee

12.kabwee

13.kaseja

14.kabila

15.katabazi

16.kalumanzila

17.kakunda

18.kadutu .

19.kayumba

20.kabelege.

stsyle hii ya majina ya kaa ipo pia burundi,rwanda,uganda na congo .

swali langu je hivi ipi asili ya majina haya na je kuna uhusiano wowote kati ya jamii hizi na zile za kutoka nje ya
 
Haiitaji akili nyingi kuangalia jiografia ya eneo na kugundua mahusiano ya vitu,
tabia,tamaduni,majina,muingiliano nk.
 
Hawa wote nadhani itakuwa ni watusi kutoka rwanda haya majina ya kaa si ndio akina kagame
 
Katoto
Kakubwa
Kadogo
Kanyumba
Kagari
Kababu
Kazee
------------
Kakikombe
Kakijiko
Kambuzi
Kang'ombe
Kaugali
--------------

Kagame
Kaguta
Kafumu
Kabila
Kambarage
 
Katoto
Kakubwa
Kadogo
Kanyumba
Kagari
Kababu
Kazee
------------
Kakikombe
Kakijiko
Kambuzi
Kang'ombe
Kaugali
--------------

Kagame
Kaguta
Kafumu
Kabila
Kambarage
mkuu hapo kwenye kagame,kaguta,kambarage,kafumu
 
Back
Top Bottom