jamani nilikuwa naomba kuuliza kwa wataalamu wa haya masuala na yeyote mwenye ujuzi kwamba inawezekana kuhama kimfumo kutoka kwenye simu inayotumia android kuibadilisha iwe inatumia windows phone os

Ni kitu ambacho hata kikifanyika sio official , ni utundu utundu. Na ukifanikisha kubadilisha simu hiyo haitakuwa stable. Kutakuwa na tatizo la drivers na operation zingine.
Kuna watu wameweka windows xp pc version kwenye kifaa cha android lakini ni kwaajili ya kujifurahisha tu.

zipo kama za kawaida lakini bootloader yake inakuwa imefunguliwa na haiekewi vipingamizi vya ovyo, ila si mambo rahisi kama unavyofikiria siku zote kueka os nyengine kwenye simu inataka ujue unalofanya