Hivi inawezekana vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi inawezekana vipi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanamayu, Oct 20, 2011.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Juzi asubuhi hapa Bongo Dar es Salaam nimeongozana na gari ambayo 'wing mirrors/ side mirrors' zake zote mbili zimefungwa. Sasa swali ni je inawezekana vipi kuendesha gari vizuri na kwa usalama wakati vioo vimefungwa? Je, huyo ni dereva kweli?
   
 2. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,613
  Trophy Points: 280
  wengi ni waenedeshaji sio madreva ndo maana ajali zinazidi kutokea.mia
   
 3. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kwa bongo hamna shida trafiki akikukamata unamtoa mnamalizana
   
Loading...