Hivi inawezekana ukawa mwanaCCM na ukawa Mchamungu wa kweli?

Inawezekana vizuri tu. Mtu kama Hussein Mwinyi ni mcha Mungu.
Nafasi aliyonayo ni kutokana na umuhimu wa baba yake,hivyo kuna watu wengi wamekosa nafasi hiyo sababu kwa kigezo hicho.hivyo amedhulumu -hata akiwa mucha mungu ni sawa na bure
 
Mambo ya kaisari usichanganye na Mungu., hata Chadema au CUF hawezi kuwa mcha Mungu wa kweli siasa na Mungu wapi na wapi
Kwenye siasa kumejaa
1.Fitina
2.Ulaghai
3.Wizi wa Rasilimali
4.Mauaji
5.Uzandiki
6.Unyang'anyi
7.Upotoshaji,
8.Kwenda kwa waganga wa Kienyeji
9.Tamaa
Kati Ya Magufuli, Mbowe, Zitto, Hamad, Lipumba hakuna mcha Mungu wa kweli

Britannica
 
Back
Top Bottom