Hivi inatokeaje hadi mnakwenda sawa.

Hivi inatokeaje hadi mnakwenda sawa.

WAKABAMBEE

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
605
Reaction score
275
Unakuta unakuwa wa kwanza kwenda kitandani unalala, na kama kawaida unaanza kupumua kwa spidi yako ya kawaida. Baada ya muda anajiunga mwenzako kitandani kulala. Hapo bila shaka naye ataanza kupumua kwa spidi yake tofauti na yako.
Baada ya muda kama wa dakika kumi hivi mtajikuta wote mnapumua kwa wakati mmoja yaani kwa spidi moja .
hivi ni kwa nini?maana kila mtu aliingia kitandani kwa muda wake na alianza kupumua kwa spidi yake.
 
^^
Research yako imetumia sampling zipi? Methodology? Language editor? Literature review?
Nisaidie napenda kuelewa
^^
 
Back
Top Bottom