Mhh pole dada,mi yani huwa nawaza hivi niolewa afu nije niachike kweli,hapanaa...
Sishauri uachane nae utaumiza watoto hawajui kitu afu watu mshasema till death does you apart,washikilie wanao dada wakikua wataelewa the sacrifice u made watakutunza ,have fun and enjoy life with them,as long as unafanya kazi itakupunguzia mawazo,..cha msingi mbane mumeo ahudumie familia vizuri....
Jipambe na upendeze zaidi ,hali ikiwa tete sana muombe mchezo,kama bado hasomeki mwenzangu kibinadamu kuchepuka ruksaaaa kajipunguzie stress.