HIVI INAKUWAJE ?

HIVI INAKUWAJE ?

Sema nimekereka sana baada ya kuitwa shoga 🙄
 
😂😂😂
Ila ninyi watu ni wakorofi balaa..!!

Mtoa mada, mwanaume ni MARUFUKU kulegeza maneno, unaelewa maana ya neno MARUFUKU..?
 
Sawa😂🤣 ila aliyepo Tabora anione ili aje awaambie nyie .
😂😂😂
Ila ninyi watu ni wakorofi balaa..!!

Mtoa mada, mwanaume ni MARUFUKU kulegeza maneno, unaelewa maana ya neno MARUFUKU..?
 
Back
Top Bottom