πππππππ Hovyo kabisa vijana humu ndaniMnafanya ajute kufungua sredi πππ
Jamoni? Hautafai Umeshaumaliza mwendo weweKwani majina ya JWTZ yanatoka lini jamoni?π
Na aanze matizi kupanua mapafu sambamba na kunyoa para na ndevu zote abaki kama emoji au tikiti maji.Endelea kupiga push up....kuwa na subra
Kuna jamaa anasema umeumaliza mwendo et ππππKijana bado ana uoga mwingi
Aanze kuitungia jomoni yake nyimbo za matizi "jomoni jomoni nataka jeshi jomoni"Na aanze matizi kupanua mapafu sambamba na kunyoa para na ndevu zote abaki kama emoji au tikiti maji.
Yaani kifupi ushakimbia kambiWeeeee tulia nipo na 22 age alafu mwendo upi nilioumaliza?
?
ππ amtafute country wizzy gaddafi kwenye hilo.Aanze kuitungia jomoni yake nyimbo za matizi "jomoni jomoni nataka jeshi jomoni"
Aamchukue hata Steve mweusi apige "jomoni aah"ππ amtafute country wizzy gaddafi kwenye hilo.
Inside10 muelekeze mwenzako kwanini mnasema kavuliwa ubingwa au kaumaliza mwendo au kahama kambi ππππUbingwa upi kaka ?ππ€£
ππππππππ Amehama kambi ipi mbona yeye anataka kua msoja EDIGAR IC"Jamoni"
Asiejua maana aambiwi maana