Hivi inakuwaje mwanaume unavaa bukta ya kuchezea mpira ndani ya suruali badala ya boxer?

Kwenye mihangaiko ya duniaa alafu nafanya kazi na wanaume ofisini mara kibao mashart yanachomoka unakuta mtu kavaa mpensi mara ya kijani,njano saa nyingine mpka la purple yaan nachukiaa balaaa
Bukta wanavaa wanaume wa kigumu, huwezi kwenda garage bila kuvaa bukta
 
Usitangaze umaa..a wako mama. Hii inamaanisha kuwa umewaona wanamme wengi sana wamevaa bukta badala ya boksa!!
 
Hata hyo bozer napiga na chupi kbsa ..kuvaa hvyo bill chupi naona kbsa Kam vile Niko uchi
 
Kuna wengine washirikina
 
wacha nikjib wanaume tunavaa bukta kwa sababu abdala huwa anapenda viwanja vyenye uwaziii
 
Maisha haya.....

Siku moja katika harakati za hapa na pale, zikazuka vurugu usiku usiku, askari wakaja na mimi nikazolewa.... tukaenda kutupwa selo.

Bahati nzuri nilikuwa nimevaa bukta ya kadeti nje, pamoja na kuvaa boxer, ndani nilikuwa na zinga la bukta la basketball 😁 😁 😁 😁 😁 , lilisaidia sana kugeuka mto kule selo.

Anyaways, kama ambavyo wanawake wanabeba kanga, mwanaume huwezi kutoka kizembezembe, linaweza ibuka noma, mkajikuta mmevulishwa nguo halafu wewe una bikini
 
Haa Haa
Tanzania Ni Nchi Yetu Lakini Ngumu, Mjadala Umeshika Kasi Kuhusu Ch*p*
 
Tatizo vijana mliozaliwa juzi ushuani hamuwezi kujua haya mambo,
Haya maneno unayafahamu,kupuna,ma play,sago,mkole,mnanda?
Kama huyafahamu Tanzania(Dar es salaam),umekuja baada ya Y2K(2000).
Hizo bukta ni silaha Incase ukikamatwa na njagu(,polisi)na kuwekwa ndani.
Vijana wanao hustle na deals zenye utata ilibidi wajihami.
Kipindi hicho vitendo vya sodomization vilikuwa vingi sana mahabusu,sasa ukiingizwa ndani Tena ni chalii,unakuta mijitu imeshiba inataka ikufanye hasusa,
Sasa kwenye purukushani basi uwe na bukta ndani,itakusaidia ku delay balaa lisikupate.
Vile vile,kipindi hicho ukitoka shule unaenda kucheza Mpira,au kuangalia muvi manzese kwa mfuga mbwa,sasa huwezi kucheza na uniform ya shule,bi mkora atakutia stiki ukirudi mchafu.
Vijana wa kileo,mnaoshinda kwenye luninga na DStv remote,hamyajuhi haya.
Kupiga bukta ndani ni mazoea tangu ujanani wetu,
 
Kwenye mihangaiko ya duniaa alafu nafanya kazi na wanaume ofisini mara kibao mashart yanachomoka unakuta mtu kavaa mpensi mara ya kijani,njano saa nyingine mpka la purple yaan nachukiaa balaaa
alafu unakuta jamaa lina manywele mpka mgongni, kinyaa.
Ila wanawake nao badala ya kuvaa chupi na undersketi wanavaa Pensi za twiga stars na wengine hawavai chupi ili msambwanda utikisike vizuri.
 
For sure
 
Hata mimi huwa nawashangaa alafu linaonekana yan nikiona mwanaume kavaa hivyo hata hamu inaniisha na huwa nakata stimu balaaa na mtu wa hivyo haezi nigusa hata mkono wangu maana najua moja kwa moja kuwa huyu mtu ni mchafu wanaume mbadilike
 
Hata mimi huwa nawashangaa alafu linaonekana yan nikiona mwanaume kavaa hivyo hata hamu inaniisha na huwa nakata stimu balaaa na mtu wa hivyo haezi nigusa hata mkono wangu maana najua moja kwa moja kuwa huyu mtu ni mchafu wanaume mbadilike
Malaya na utanashati wapi na wapi!! Usidanganye hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…