Hivi inakuaje mwanamke wa hvi!??

Hivi inakuaje mwanamke wa hvi!??

Nisaidieni jamani mchango wa mawazo yenu,.
Nina demu ambae nipo nae kimapenzi zaidi,Ananipenda sana namm nampenda! Tatizo lipo pale ninapotaka kufanya nae mapenzi huwa nikimchezea sehemu zote ambazo zinauwezo wa kumnyegesha mwanamke haraka huwa Hisia zake zipo mbali sana,Inafikia hatua anakukodolea macho tu nakujichekeshachekesha lkn hana hata dalili za kuwa kene mapenzi macho makavuuu namwili hautepeti au kuwa legevu km wanawake wengine! Naomba kuulza hii inakuaje kwa upande wake!??

Hana hisia na wewe, mapenzi ni hisia. Mpige chini tafuta demu mwingine. Full stop!
 
mpige makofi ili kupata unachotaka
endelea kufanya uzinzi zawadi yake ipo tu jifanye unajua mapenzi kumbe ni ujinga tu
hamna unachofanya ni maigizo tu anataka labda muwe watano mmoja anaona siyo mziki
 
Si ndiyo wewe uliyekuwa unatafuta demu wa kiarabu anayeishi baharini? Vipi ndiye huyo unayemuongelea?
 
Hajakufeel.......inawezekana yupo na wewe kwa sababu zake.......yupo njiani anapita huyo......hiyo tunayo sana.......

Inawezekana pia kua katahiriwa. hana stimuli part on her female organ.
 
Tafuta alielegea kabisaa ili asikusumbuee
 
Huyo hajaku-feel
wewe inachotakiwa kula mzigo tu, halafua atapanda mwenyewe kilima hicho kunako safari.
Wengine wanataka na Katerer* kwani kuna waliomfikisha sasa wewe km unampapasa tu badala ya kubamiza kiharage
Au amegegedwa?
 
haa haaa kumbe ndio huyu? labda kwa sababu anapenda wa baharin a.k.a samaki ndio maana wa nchi kavu hawaelew
Si ndiyo wewe uliyekuwa
unatafuta demu wa kiarabu anayeishi baharini? Vipi ndiye huyo
unayemuongelea?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom