Hapana ni bank yoyote ile. Ninachofahamu ni pesa zinatoka bodi ya mikopo zinakwenda direct chuo,na ndio chuo wanaingiza kwenye account za wanafunzi. Unless utaratibu uwe umebadilika. Ninachofahamu kwa experience yangu ndogo,mikopo inawai bank 2 ambazo ni NMB na CRDB.