Hivi ili upate mkopo chuo kikuu ni lazima ufunge account benk fulani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ili upate mkopo chuo kikuu ni lazima ufunge account benk fulani?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by ABEL NESTORY, Oct 12, 2012.

 1. ABEL NESTORY

  ABEL NESTORY Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 12, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  habari zenu naomba mnisaidie je hivi ili upate mkopo katika chuo ni lazima ufungue account katika bank fulani? au je mikopo ya wanafunzi inawahi kuingia katika bank gani maana nimesikia watu wakisema kuwa ni lazima ufungue account katika bank fulani ndyo unapato mkopo haraka
   
 2. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Hapana ni bank yoyote ile. Ninachofahamu ni pesa zinatoka bodi ya mikopo zinakwenda direct chuo,na ndio chuo wanaingiza kwenye account za wanafunzi. Unless utaratibu uwe umebadilika. Ninachofahamu kwa experience yangu ndogo,mikopo inawai bank 2 ambazo ni NMB na CRDB.
   
 3. t

  tusichoke JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 1,286
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ni CRDB au NBC wapo shapu bt crdb is better
   
 4. July Fourth

  July Fourth JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 2,288
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280
  iyo ipo SAUT tu...account lazima iwe ya crdb
   
Loading...