Hivi ile sauti inayomuita mtu mtoto wakati na wewe umeita huwa ni sauti ya nani!

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,973
27,209
Kumekuwa na sauti inayojirudia endapo utasimama sehemu yenye bonde kali kama mtoni au kwenye maporomoko makubwa kwa mfano ukaita mtu kwa sauti kubwa na huko mbali utasikia mtu anaita kama wewe hivyo hivyo huwa ile sauti ni ya nani!nakumbuka kipindi tumaenda kuchota maji kwenye chemchem huko kijijini kwetu niliwahi kuuliza hili swali nikaambiwa kuwa kuna watu hivyo tukishafika sehemu hiyo tubishe hodi sasa ukishaingia mle ukibisha hodi kwa nguvu na hapo hapo unasikia sauti hiyo hiyo!hivi huwa ni viumbe gani visivyoonekana!!
 
Huo ni mwangwi

Back
Top Bottom