mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,583
- 11,659
Nilichogundua Tanzania, mtanzania ni mnyama na mnyama ni binadamu nikimaanisha thamani ya mtu Tanzania hakuna ila thamani ya mnyama ni kubwa sana tofauti na wenzetu walioendelea mtu mmoja akifa kwenye mazingira kama yale utaona thamani yake ambayo Tanzania ni thamani ya faru.
Nimeona habari kwenye gazeti kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii ameunda kamati ya kuchunguza kifo cha Faru Kileo, hivi ile ripoti ya kifo cha Faru John Ilishatoka? Na je kamati ya kuchunguza kifo cha Akwilina ilishaundwa? Nauliza tu!
mr mkiki.