Hivi ile issue ya kilimo kwanza iliishiaga wapi?

Hivi ile issue ya kilimo kwanza iliishiaga wapi?

Kilimo kwanza ilikuwa ni ngumu sana kufanikiwA Kwa sababu hyo idea waliikopi Hata bila kufanya utafiti wa mazingira ya tz
 
Ulikoishia hadi sasa wasomi wanalima, tuseme wanalimisha... Matokeo ya kilimo kulipa, juhudi za Serikali na matokeo ya Kilimo Kwanza, kwa kiasi gani wamefanikiwa.. Sijui!
 
haikua ishu, haukua mchakato,
ilikua ni sera/policy.
 
Msimamizi ambaye ni Mizengo Pinda aliishia kufuga nyuki akapotezea hiyo geresha waliyoipa jina la kilimo kwanza.
 
Pinda aliondoka nayo... sasa hv anafuga hadi nyuki wa sukari..!! usiniulize...!!

 
Back
Top Bottom