Hivi ile issue ya kilimo kwanza iliishiaga wapi?

Hivi ile issue ya kilimo kwanza iliishiaga wapi?

Viwanda vya kufyatua watoto au??? hivyo viwanda vitazalisha nini??? ana miaka minne tu.

Yeah.. vya kufyatua watoto.. tena kuna kiwanda kimoja kikubwa leo nilienda kufyatua mtoto leo, ila kiwanda kilikuwa kinalia sana kimezeeka dizaini...

Haa
 
Yeah.. vya kufyatua watoto.. tena kuna kiwanda kimoja kikubwa leo nilienda kufyatua mtoto leo, ila kiwanda kilikuwa kinalia sana kimezeeka dizaini...

Haa
Lol..wacha nikaanzishe cha kwangu, nitakiita....baBA j baby producing factory....wale wanaosubiri ajira mpya na kukuu nitawapa kazi wote.
 
Tuliisha izika siku nyingi hatukumbuki hata kaburi lake liko wapi.
Sasa hiv tuna mtoto mpya kbsa hata mwaka hajafikisha anaitwa ''nchi ya viwanda''
 
Waulize SUMA kama bado wanaleta Tractor za kuhamasisha kilimo kwanza
 
Back
Top Bottom