Hivi ile hotel ya kitonga ndio imekufa?

Siku moja maafande walikuja bwenini kufanya ukaguzi wa ghafla, wakakuta kuberi ya mshaji kwenye tranka langu wenyewe wakaandika madawa ya kulevya, j3 siku ya hukumu kila mmoja anaitwa staff room na kuaomewa makosa yake, pembeni wamesimama mp watatu unapita kwa kila mmoja anakupa kichapo cha haja, shukrani kwa kepteni fulani alikua anajuana na mshua akawaambia huyu mtunzeni tutamshughulikia badae, ila siku hiyo watu walipewa kipondo cha haja siwezi kusimulia.
Saaana..."kwanza nakupa sita pili unajitetea ...unamkumbuka huyu mwalimu
 
Naona mliosoma kawawa mmebadilisha mada kabisa!

Haya na sisi jirani zenu tuliosoma MET( now JJ mungai) tuendelee kucomment humu humu?
 
Siku moja maafande walikuja bwenini kufanya ukaguzi wa ghafla, wakakuta kuberi ya mshaji kwenye tranka langu wenyewe wakaandika madawa ya kulevya, j3 siku ya hukumu kila mmoja anaitwa staff room na kuaomewa makosa yake, pembeni wamesimama mp watatu unapita kwa kila mmoja anakupa kichapo cha haja, shukrani kwa kepteni fulani alikua anajuana na mshua akawaambia huyu mtunzeni tutamshughulikia badae, ila siku hiyo watu walipewa kipondo cha haja siwezi kusimulia.
Mkuu miaka gani umesema hapo
 
Duh!

Hapo na Al Jazeera nimekula sana nyama nyama hizi!

Si ajabu nimekula hata nyama za wanyama nisio na kawaida ya kula nyama zao.

La muhimu, hata kama nimekula hizo nyama, sikudhurika!
 
Comfort!
Nilishawahi kuachwa na basi (Scandinavia). Nilikuwa naelekea Songea. Wakati nakula nilikuwa nakula huku naliangalia gari, kumbe halikuwa gari letu, ........
Kesho nitamalizia, ngoja kwanza nikasome thread za Mshana Jr za issue za kunyongwa na ile ya mapicha ya walevi wa sikukuu ya Krismas
 
Nili notice mabadiliko ya upungufu wa ubora na idadi ya misosi mwaka 2016 hapo naenda mbeya.biashara ngumu abiria nao wanakula kwa mbinde.
 
Shukran Kitonga Comfort hotel ilitufaa wengi mwanzoni mwa miaka ya 2000.
Baada ya kula ugali na maharage yasiyo na mafuta wala kitunguu Mkwawa high school tukifunga shule Comfort ilituliwaza kwa kula wali na nyama.
Enzi za mabasi ya Scandinavia na Upendo .
 
Back
Top Bottom