Hivi identify yetu wa Afrika ni ipi hasa? Yaani kitu gani ambacho tuko proud nacho tuseme it our own?

Hivi identify yetu wa Afrika ni ipi hasa? Yaani kitu gani ambacho tuko proud nacho tuseme it our own?

mkunga wa jadi

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2025
Posts
208
Reaction score
431
Hivi hawa watu ambao tunatumia vitu vyao wanajisikiaje? Hivi chanzo cha Waafrika kuwa hivi ni nini? Ni mindset zetu ziliharibiwa na wazungu yaani kutufanya wao tuwaone bora ila vya kwetu tuvione si chochote wala si lolote na hivi waAfrika miaka na miaka tuneshindwa kutengeneza vya kwetu kuanzia mababu zetu mpaka sie tumeshindwa kutengeneza vya kwetu?

Mwafrika ni mtu wa kupangiwa tu hata Elimu yetu ni ya kupangiwa tu wala mwafrika usijione mjanja kwa vitu ambavyo wewe umepangiwa tu na Mwafrika ni kw
mtu ambae anaishi jwa maelezo tu yaani mwafrika anaishi kwa maelezo ya kupangiwa na bwana zao wazungu au wachina

Mwafrika ni race ambayo ina roho mbaya, husuda,wivu na hasidi mwafrika anaweza kumuua mwafrika mwenzie kwa Tamaa ya mali na madaraka rejelea liberia civil war,Guinea Bissau nacro state,liberia vs sierra leone war na hapo mzungu au wachina wameshawajulia sasa

Mwafrika anaweza kupigana na Mwafrika mwenzie kisa kuligombania Taifa la Israel ambalo hata halimuhusu hata kidogo ni ujinga na mwaafrika anaamini israel ni Taifa la Mungu kwahiyo haya Mataifa mengine ni ya shetani? Yaani when you come into religion yaani Mwafrika hatumii akili hata kidogo yaani hata robo ya akili je waAfrika ni laana au wameharibiwa mindset na watu weupe na hao hao waafrika wakadanganywa na watu weupe au wazungu eti kuoa mwanamke zaidi ya mmoja ni dhambi huu ni ujinga wa kiwango cha lami je waAfrika tumeshindwa kutengeneza identity yetu?

Mwaafrika anajiona kupata GPA above 4.5 kwa mfumo wa elimu ya kikoloni au kizungu ni ujanja kumbe ni elimu ya kukalilishwa tu! Poor Afrika.
 
Colonialism effects, indoctrination and western propaganda. Mind you Africa was way ahead of Europe in so many aspects before the contact.

The only thing that let us down was 'betrayal'. Divide and rule, some (especially the then ruling classes) were given privileges over others and betrayed their tribesmen. Hence Divide and Rule, which is still a cancer in the modern days.

A few considered elite are privileged hence using massive force to make the majority succumb to the ruling class who manipulate and missuse the abundant resources of the mother nation.

Here in TZ we see DGIS' kids brandishing thousands of dollar with the middle finger inserted to insult the have-nots while their patriachs doing the dirty works for the ruling/royal class/family.

I tell you my friend, colonialism is getting even worse now days. And the bad thing is it is not the European colonialism, it's black colonialism, we Africans have our own African colonialists.

Get some time and listen to PLO Lumumba.
 
Tukiziacha DINI+SIASA zao basi tushatoboa na tutajua history yetu ya kweli, huwezi kuujua uhalisia wako kama bado unaamini ktk mitume weupe na akina yesu wa middle East, narudia tena, huwezi kuijua asili yako kama unaamini mtu wa kwanza alikuwa mweupe na aliishi huko middle east na ndie aliyewazaa watu weusi, yaani mtu mweupe amzae mtu mweusi?, hili hata kimuujiza na kisayansi haliwezekani, then how sisi tukaamini huu upumbavu?.

Wakoloni walitumia akili kubwa kuwatawala na kuwagawanya waafrika kwa kutumia dini, maana ndio siraha pekee inayoharibu asili ya mtu na kumtenganisha na nguvu zake.

Kuna mengi ya kujivunia kama muafrika lkn kuna mambo ukiyaongelea yanayokuza uafrika utaishia kuitwa mzushi, muabudu mizimu, mchochezi, mkataa dini, mpagani, na mengi wanayotumia kuuficha ukweli hao wafuasi wa mambo ya wazungu+waarabu.

Kila kitu kilianzia Afrika, haya yote wanayoyafanya leo ukija kuujua ukweli utagundua kuwa kumbe dunia ilishastaarabika maelfu ya miaka iliyopita na kulikuwa na maendeleo makubwa maelfu ya miaka iliyopita, kwa sasa tunaishi ktk ulimwengu fake, yaani kila jambo tunadanganywa, kuanzia elimu mpaka asili ya kiroho

Ukisikia mtu anasema zamani hakukua na maendeleo unatakiwa umtizame mara mbili, je anazungumzia zama zipi?, kama ni hizo zama za wazungu kukaa mapangoni ni sawa hakukuwa na maendeleo ama zile zama ambazo waafrika walikuwa watumwa napo ni sawa,

lakini tukizungumzia zile zama za maelfu kwa malaki ya miaka ambapo muafrika alikuwa ndie Mungu wa Kwa rangi zingine na Dunia nzima ilikuwa tawala ya muafrika ktk falme mbalimbali ambazo ktk dini zao wamezipotosha na kusema ni falme zao zilizotokea ulaya na Asia, falme za huyo wanayemuita suleiman, falme ya nebukadineza, falme ya babilon, falme ya mafalao na nyingine nyingi hizi zote zilikuwa hapa hapa Afrika na zingine hapa hapa East Afrika, maelfu ya miaka hata kabla hizo TAKATAKA zao zinazoitwa dini hazijaundwa wala hao wazungu kwa waarabu hawajajua hata kuoga wakiwa wanamuona mtu mweusi kama Mungu kwao.

Tulikengeuka na kuwa watumwa baada ya kutengana na asili na kuanza kuabudu hiyo mizimu ya watu weupe ktk dini zao(Allah,yesu, Yehova), soma hata history wakoloni walimuweza mtu mweusi baada ya kuleta hao wamissionaries walioleta dini ili kumtenganisha mtu mweusi na nguvu zake, ndipo wakaweza kumtawala na kufuta historia yake yote.

Tukiachana na huu upuuzi wa dini mbona tutaujua ukweli
 
Identity yetu ni ujinga
Si kweli labda kama umeanza kuisoma history ya Afrika after Colonial Era, wengi hamujui chochote kuhusu Afrika na hata hamuijui chanzo cha Afrika ni kipi na hata hii mnayoita Tanzania hamujui ni nini kilikuwepo kabla ya ukoloni na kabla ya hii mipaka kuundwa na kabla hata wakoloni hawajaja
 
Colonialism effects, indoctrination and western propaganda. Mind you Africa wa way ahead of Europe in so many aspects before the contact.

The only thing that let us down was 'betrayal'. Divide and rule, some (especially the then ruling classes) were given privileges over others and betrayed their tribesmen. Hence Divide and Rule, which is still a cancer in the modern days.

A few considered elite are privileged hence using massive force to make the majority succumb to the ruling class who manipulate and missuse the abundant resources of the mother nation.

Here in TZ we see DGIS' kids brandishing thousands of dollar with the middle finger inserted to insult the have-nots while their patriachs doing the dirty works for the ruling/royal class/family.

I tell you my friend, colonialism is getting even worse now days.

Get some time and listen to PLO Lumumba.
That is! Your are master 💪💪
 
Hivi hawa watu ambao tunatumia vitu vyao wanajisikiaje? Hivi chanzo cha Waafrika kuwa hivi ni nini? Ni mindset zetu ziliharibiwa na wazungu yaani kutufanya wao tuwaone bora ila vya kwetu tuvione si chochote wala si lolote na hivi waAfrika miaka na miaka tuneshindwa kutengeneza vya kwetu kuanzia mababu zetu mpaka sie tumeshindwa kutengeneza vya kwetu?

Mwafrika ni mtu wa kupangiwa tu hata Elimu yetu ni ya kupangiwa tu wala mwafrika usijione mjanja kwa vitu ambavyo wewe umepangiwa tu na Mwafrika ni kw
mtu ambae anaishi jwa maelezo tu yaani mwafrika anaishi kwa maelezo ya kupangiwa na bwana zao wazungu au wachina

Mwafrika ni race ambayo ina roho mbaya, husuda,wivu na hasidi mwafrika anaweza kumuua mwafrika mwenzie kwa Tamaa ya mali na madaraka rejelea liberia civil war,Guinea Bissau nacro state,liberia vs sierra leone war na hapo mzungu au wachina wameshawajulia sasa

Mwafrika anaweza kupigana na Mwafrika mwenzie kisa kuligombania Taifa la Israel ambalo hata halimuhusu hata kidogo ni ujinga na mwaafrika anaamini israel ni Taifa la Mungu kwahiyo haya Mataifa mengine ni ya shetani? Yaani when you come into religion yaani Mwafrika hatumii akili hata kidogo yaani hata robo ya akili je waAfrika ni laana au wameharibiwa mindset na watu weupe na hao hao waafrika wakadanganywa na watu weupe au wazungu eti kuoa mwanamke zaidi ya mmoja ni dhambi huu ni ujinga wa kiwango cha lami je waAfrika tumeshindwa kutengeneza identity yetu?

Mwaafrika anajiona kupata GPA above 4.5 kwa mfumo wa elimu ya kikoloni au kizungu ni ujanja kumbe ni elimu ya kukalilishwa tu! Poor Afrika.
Screenshot_20250918-132849.jpg

👆🏾Hapa umezunguka sana kutoa mifano ya mbali, mfano halisi ni Tanzania Waafrika Samia na Kikwete wanavyoendesha magenge ya wasiojulikana kuua, kuteka, kulawiti na madhila mengine mengi tu ili waendelee kuifuja na kuifilisi nchi huku bank accounts zao za Dubai na kwingineko zikizidi kunona.
Ukitoka Waafrika race inayofuata kwa ushenzi na uzandiki uliokithiri ni Waarabu, kila aliyewahi kukaa nao atakuwa na ushahidi. Imagine mtu anakubali kujilipua alimradi tu na wengine wafe, terrible race indeed.
 
Back
Top Bottom