Maswavilla
Member
- Jun 19, 2015
- 6
- 2
Wadau naomba mnipe uzowefu wenu hivi inakuwaje utumishi anahama kutoka Almashauri moja kwenda nyingine huku Lawson inaendelea kusomeka yupo Almashauri ile ile ya mwanzo zaidi ya miezi mitatu huku ma Afisa Utumishi wapo wa Idala ya Makao Makuu huku watumishi wakiendelea kuteseka tu,kwani hata utumishi usika akienda benki hawezi kukopa kwani kwenye mtandao wa mishahara ya Almashauri usika yaani Lawson hataonekana!Naombeni mawazo yenu wadau inamchukua mda gani Afisa Utumishi wa Utumishi makao makuu kuingiza data au Ku approve data kwenye system?