Hivi huyu 'Shemeji' yupo serious au ni maskhara?

Da Gladiator

JF-Expert Member
Aug 3, 2020
1,641
2,644
Mwanakondoo ameshinda,

Bilashaka mu wazima wana MMU (akiwemo Mshana Jr, Kantwe, Depal, KENZY etc ) mimi pia sijambo sema najisikia kauchovu kwa mbaali kutokana na safari iliyonitoa Mwanza kuja hapa Arusha kwa mambo ya kimpira na kisiasa, nadhani ndio sababu ya huu uchovu. Wakati nipo Mwanza nilikuwa nawasiliana mara kwa mara na shemeji yangu ambaye ameolewa na rafiki yangu (rafiki tangu tu watoto), na wote wapo Arusha 'kimakazi', bidada anafanyakazi katika benki fulani hapa Arusha. Ila rafiki yangu yeye yupo selikarini (kazi yake naihifadhi).

Kwanza nikiri baadhi ya member wa JF, nilikuwa nawadharau (mnisamehe sana) walipokuwa wanaleta mada ambazo binafsi nilihisi wangeweza kufanya maamuzi wenyewe bila kuleta hapa jukwaani, ila nami leo yamenifika shingoni, nahitaji mawazo yenu.

Twende madani, Kiukweli shemeji yangu ni mzuri (cute), mrembo(beautiful), binti wa mitindo(stylish) na ni 'Mbulu' mimi huwa namwita 'Tingisha Jiji' huwa namsifia wazi wazi bila kuscrach, huwa mpaka namfananisha Irina Shyk(mchumba wa zamani wa CR7) ikafikia wakati hata akitaka kuweka 'whatsaap/IG profiles' ananishirikisha.

Mmh, Jana kulikuwa na matukio mawili makubwa ya kimichezo 1. Kilele cha wiki ya mwananchi 2. Ngao ya jamii (Simba v Namungo). Mimi ni wanachama,mnazi,shabiki wa Simba Sc na yeye na mmewe kwa pamoja ni mashabiki wa Dar Young Africans, mimi na yeye tulipingana kuhusu Simba Sc kuchukua Ngao ya Jamii, yeye akiamini haitachukua. Kiutani utani, akanambia atanipa 'penzi' kama Simba itashinda 'i.e ntamchakata' sikutilia maanani nilijua ni matani tu. Siku zikasonga sasa Jana baada ya siku kuisha nikapokea SMS yake leo asubuhi "Enhe hiii ndio tofauti kati ya Tamasha na Bonanza, ile issue tufanye lini , nijib plz?"

Kiukweli nimebaki njia panda, hapo naona kama amesifia 'kilele cha wiki ya mwananchi' kimbembe kipo hapo kwenye 'issue' sijui anamaanisha 'kugegedwa?!' Mpaka sasa sijamjibu.

karibu kwa ushauri na michango iliyo na staha. (maana beki hazikabi).
 
Mkuu ikiwa utalala nae fikilia ....
Ukisha mwaga shahawa zako tu Nini kitaendelea hapo,Kama sio kuvuruga Mambo mengi Sana
Potezea,fanya Kama nothing chamaana hapo

Kwa faida nkukumbushe tu wew ndio master control wa akiri yako
Ukiiseti kupiga utapiga,ukiseti no hautafanya chochote.
 
Mtajie jina lolote la gesti maarufu hapo town kua ndio location uliyo point kwa ajili ya hiyo biashara afu mskilizie atajibuje

Akisema poa nakuja, mtanie mwambie utanikuta room namba flani ila hakikisha hutumii reaction ya masihara

Akisema hapana halafu akakuuliza gesti kufanya nini au akionesha respond ya kukataa. Hapo ujue fika kua anaongelea ishu nyingine sio ile ahadi

Kwaiyo unatakiwa usipinge maneno yako we mfanye kama kaelewa tofauti, mwambie hapa kwenye hii gesti kuna kamgahawa kana utulivu niliona itapendeza huo mchongo tuufanyie hapa
 
Kwanza usijisahaulishe kuwa huyo ni mke wa rafiki yako since childhood means mtakuwa na bond ya kueleweka, sio vizuri kukula mali yake. ( kwanza nguvu za kudindisha utazitoa wapi? Nafsi itakusuta.

Pili usiruhusu kichwa cha chini kikuzidi akili utakuja kujuta baadye. We hiyo msg yake usijibu, be gentle mkuu temana nae.

Nyongeza. Kama una kipururu sana watembelee wale Mali ya umma hapo Shivas ama picnic.
 
Depal kwenye ubora wake
 
Asante sana, Ila umenichana.
 
Mkuu ikiwa utalala nae fikilia ....
Ukisha mwaga shahawa zako tu Nini kitaendelea hapo,Kama sio kuvuruga Mambo mengi Sana
Potezea,fanya Kama nothing chamaana hapo

Kwa faida nkukumbushe tu wew ndio master control wa akiri yako
Ukiiseti kupiga utapiga,ukiseti no hautafanya chochote.
Ha ha ha, thanks a lot.
 
Mtajie jina lolote la gesti maarufu hapo town kua ndio location uliyo point kwa ajili ya hiyo biashara afu mskilizie atajibuje

Akisema poa nakuja, mtanie mwambie utanikuta room namba flani ila hakikisha hutumii reaction ya masihara

Akisema hapana halafu akakuuliza gesti kufanya nini au akionesha respond ya kukataa. Hapo ujue fika kua anaongelea ishu nyingine sio ile ahadi

Kwaiyo unatakiwa usipinge maneno yako we mfanye kama kaelewa tofauti, mwambie hapa kwenye hii gesti kuna kamgahawa kana utulivu niliona itapendeza huo mchongo tuufanyie hapa
We jamaa genius sana, ivi kale kalike kakucheka mnakapaje hapa JF ?! Maana mimi mgeni
 
Ulikuwa unawadharau wenzio mwanzoni kuleta mada zao humu? Well, issue hii rahisi sana. Potezea msg yake. Aking’ang’ania sana mwambie huwezi kufanya hiyo kitu kwani unamuheshimu yeye na mumewe

Otherwise tutakudharau na kukuona zombie
Mkuu nimeomba radhi ujue, nilikuwa mgeni. Samehe 7 X 70.
 
Back
Top Bottom