donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,092
- 21,773
Habari za wakati huu wakuu?
Hivi ishawahi kukutokea umebanwa na haja (mostly haja kubwa) uko mbali sana na washroom letsay uko ndani ya gari.
Ukavumilia vizuri tu, Ila kila unapokaribia kufika chooni ndio haja inazidi kubana na unapofika mlangoni ukitaka kuingia chooni haja ndio inakuwa at maximum point yaan kama umekaza Mkanda wa suruali yako unaweza ukajikuta unajifedhehesha.
Nashindwa kuelewa kwanini unauwezo wa kuvumilia koote ulikotoka lakini unapokaribia kuingia msalani haja ndio inazidi