Hivi huu umati wa mashabiki wa Yanga uliosimamisha Uwanja wa Ndege na Dar es Salaam, ulikuwa na kibali cha Polisi kuandamana?

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
14,176
Reaction score
25,919
1751388172117.png

Ningependa sana kujua kama huu umati ambao ulisimamisha uwanja wa ndege na Da es Salaam ulipewa kibali cha maandamano na polisi. Na je, Polisi walifanya intelijensia kujiridhisha kwamba wanachama wa Simba labda wasingefanya vurugu?

Nimetafakari juu ya hili kwa sababu Chadema au ACT Wazalendo wakisema wanataka kuandamana kwa amani, Polisi wanakuja na kila namna ya visingizio kuwakatalia. Utakuta wanatoa sababu kama mtavuruga shughuli za watu, mara intelijensia inasema kutakuwa na fujo na ujinga mwingine kama huo.

Na maandamano ya Yanga je, yalikuwa na kibali? Kiliombwa muda wa kutosha kabla ya kufanyika?

Hili la maandamano ya Yanga linaonyesha wazi kuwa Polisi mna mambo ya kujipendekeza sana kwa chama tawala. Kuna siku itawatokea puani. Wahedi Wahedi kabisa nyie.
 
View attachment 3390469

Ningependa sana kujua kama huu umati ambao ulisimamisha uwanja wa ndege na Da es Salaam ulipewa kibali cha maandamano na polisi. Na je,polisi walifanya intelijensia kujiridhisha kwamba wanachama wa Simba labda wasingefanya vurugu?

Nimetafakari juu ya hili kwa sababu Chadema au ACT Wazalendo wakisema wanataka kuandamana kwa amani, Polisi wanakuja na kila namna ya visingizio kuwakatalia. Utakuta wanatoa sababu kama mtavuruga shughuli za watu, mara intelijensia inasema kutakuwa na fujo na ujinga mwingine kama huo.

Na maandamano ya Yanga je, yalikuwa na kibali?Kiliombwa muda wa kutosha kabla ya kufanyika?

Hili la maandamano ya Yanga linaonyesha wazi kuwa Polisi mna mambo ya kujipendekeza sana kwa chama tawala. Kuna siku itawatokea puani.
Kazi kweli kweli...
 
Write your reply...acha kufananisha yanga na mambo ya kipumbavu.siasa zenu zisiwakoseshe wapenzi wa soka furaha
 
Ukiwa na akili ya kufikiria nje ya box nchi hii utapata tabu sana. Hutoinjoi
Mkuu umetoa kauli yenye kina sana. Asante sana. Nadhani kuna viongozi walishatambua siku nyingi Watanzania wengi hawana uwezo wa kutafakari walakufikiri.Wanaburuzwa tu kama mikokoteni kwenda dampo la takataka
 
Write your reply...acha kufananisha yanga na mambo ya kipumbavu.siasa zenu zisiwakoseshe wapenzi wa soka furaha
Tunaenda kwa principles mzee - angalia sababu za Polisi kuwakatalia Chadema au ACT wazalendo maandamano yao, kisha angalia kilichotokea kwa Yanga.

Sipingi maandamano ya Yanga - lakini mie sio mtu wa kuishia kushangilia ushindi wa Simba au Yanga, naenda mbali zaidi.

In fact, Polisi walikuwa na kila sababu ya kuhofia Simba kuwafanyia fujo Yanga - lakini haikuwa hivyo. Mind you, Yanga walitia nanga Msimbazi,of all the places! Ulishasikia Chadema wataandamana na kutia nanga Lumumba? Can you even imagine that?

Chadema au ACT wazalendo wakisema wanataka kuandamana kwa amani - ni fujo gani unatarajia zitatokea? Sasa hawa ma IGP wakidhani they can fool people all the time, they are the fool ones.
 
1751387647705.png

Tunataka IGP atuambie,
  • huu umati wa watu wote hawa, ulikuwa na kibali cha kuandamana?
  • je polisi hawakuona kwamba shughuli za wananchi zilisimama kwa ajili ya maandamano haya, na nani alilalamika?
  • kupiga nanga Msimbazi walijihakikishia vipi hakutaleta vurugu toka wanachama wa Simba?
  • Je Polisi walifanya intelijensia kamba ya maandamano?
  • kma hakukuwa na tatizo huu umati kuandamana bila kibali, na Simba wakawa wastaarabu kuawaachia wafurahi, kwa nini wandahni Chadema au ACT wazalendo wakiandamana Watanzania watakosa ustaarabu?
Conclusion ni kwamba Polisi wa Tanzania ni wadaku sana, kama walozi wa chama tawala tu.
 
View attachment 3390496

Ningependa sana kujua kama huu umati ambao ulisimamisha uwanja wa ndege na Da es Salaam ulipewa kibali cha maandamano na polisi. Na je, Polisi walifanya intelijensia kujiridhisha kwamba wanachama wa Simba labda wasingefanya vurugu?

Nimetafakari juu ya hili kwa sababu Chadema au ACT Wazalendo wakisema wanataka kuandamana kwa amani, Polisi wanakuja na kila namna ya visingizio kuwakatalia. Utakuta wanatoa sababu kama mtavuruga shughuli za watu, mara intelijensia inasema kutakuwa na fujo na ujinga mwingine kama huo.

Na maandamano ya Yanga je, yalikuwa na kibali? Kiliombwa muda wa kutosha kabla ya kufanyika?

Hili la maandamano ya Yanga linaonyesha wazi kuwa Polisi mna mambo ya kujipendekeza sana kwa chama tawala. Kuna siku itawatokea puani. Wahedi Wahedi kabisa nyie.
Murilo alisema atayevurga maandamano ya Yanga atapata taabu sana
 
Polis wa Tz wana Aleji na Chadema na waumini wa Gwajima tu wengine sio shida zao
 
Sijui kati yao na sisi nani hana akili? Wao wako convinced kabisa ni sisi wananchi.
 
Back
Top Bottom