chardams
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 2,439
- 1,734
Siku mbili zilizopita kuna mjamaa hapa alifukuzwa kazi. Siku aliokuwa anondoka kwenda makwao akkutana na mjamaa mwingine tunaye fanya nae kazi, huyo jamaa alikuwa amempa kadi ya mchango wa harusi. Mazingumzo yao yalikuwa kama ifuatavyo:
Aliekpo Kazini: Vipi bwana naona unaondoka, mbona ghafla
Aliefukuzwa: Aah Ndio hivyo bwana imeishatokea
Aliepo Kazini: Sasa vipi kuhusu ile kadi yangu ya mchango wa arusi.
Alifukuzwa: Ndo naingia hapo kwa msasibu kuchukua kilicho changu nikitoka ntakuona
Mwisho wa kunukuuu.
Hivi kama we ndo ungekuwa umefukuzwa kazi ungemuelewaje huyo jamaaa.
Na je huo ni uungwana? Mtu anasikitika kafukuzwa kazi wewe unamdai mchango wa harusi.
Ni nini mtazamo wenu wadau/