Hivi Huu ni uungwana?

chardams

JF-Expert Member
May 1, 2012
2,439
1,734
Siku mbili zilizopita kuna mjamaa hapa alifukuzwa kazi. Siku aliokuwa anondoka kwenda makwao akkutana na mjamaa mwingine tunaye fanya nae kazi, huyo jamaa alikuwa amempa kadi ya mchango wa harusi. Mazingumzo yao yalikuwa kama ifuatavyo:

Aliekpo Kazini: Vipi bwana naona unaondoka, mbona ghafla

Aliefukuzwa: Aah Ndio hivyo bwana imeishatokea


Aliepo Kazini: Sasa vipi kuhusu ile kadi yangu ya mchango wa arusi.

Alifukuzwa: Ndo naingia hapo kwa msasibu kuchukua kilicho changu nikitoka ntakuona


Mwisho wa kunukuuu.


Hivi kama we ndo ungekuwa umefukuzwa kazi ungemuelewaje huyo jamaaa.

Na je huo ni uungwana? Mtu anasikitika kafukuzwa kazi wewe unamdai mchango wa harusi.


Ni nini mtazamo wenu wadau/
 
Kuna mtu alinikumbusha mchango wake wa harusi nikiwa mkoani nimepeleka nyumbani msiba wa mwanangu wa kumzaa na siku naondoka alikuja kuniaga. People are very selfish indeed
 
Kuna mtu alinikumbusha mchango wake wa harusi nikiwa mkoani nimepeleka nyumbani msiba wa mwanangu wa kumzaa na siku naondoka alikuja kuniaga. People are very selfish indeed

Ama kweli they are
 
"Dunia ya sasa imani imekwisha si wanawake si wanaume mambo yanakwenda mutapamutapa kwenye watu 10 binaadamu mmoja"
 
anayedai mchango akili hana!haangalii hata situation yenyewe?kha!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom