Hivi huu ni UKOSA au UGONJWA?!

Hivi huu ni UKOSA au UGONJWA?!

Wilbert1974

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
1,632
Reaction score
481
Miss au ugonjwa.jpg

Kuwa na mwili hivi ni sanaa au ugonjwa?
 
Model huyo, siku hizi watu hawataki vibonge
 
Mkirua , nitakuonea huruma maana inabidi budget izidi ya kumpa lishe ya kukosa maana hata game huyo itakuwa inamshinda.
 
Last edited by a moderator:
MadameX, umenena...Tatizo hata hiyo appetite ya game haitakuwepo kabisa...

Wewe ukisema cha nini mwingine atasema sijui nitakipata lini. Inawezekana mtu fulani mahali fulani halali usingizi kwa sababu ya kimwana huyu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom