Hivi hospital kubwa kama Mount Meru inakosaje standby generator?

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
892
1,226
Mi nadhani kwenye hili kuna watu lazma wawajibike kama sio Mganga mkuu wa Arusha/mkuu wa mkoa/waziri wa Afya hata mkuu ikibidi
Kwenye bday yako nadani uende ukadonate generator Arusha
IMG_20171029_085425.jpg

Screenshot_20171029-082134.png
 
Mzalendo Gambo yupo wapi? Au hili wameamua kula pini.
Mama abebe ujauzito miezi 9, na kujifungua salama alafu kichanga kifariki kwa uzembe wa kipuuzi kama huo na bado wapo kimya kana kwamba ni jambo la kawaida tu.
 
Ila nasikia hiyo habari si ya kweli
Mt meru hakuna hizo mashine za kuweka watoto
 
katika hospitali ya hivyo mojawapo ni mt meru sijui mganga mfawidhi wa hapo anauchawi gani mpaka leo ajatumbuliwa .rushwa kwanzia getini hadi wodini
 
Back
Top Bottom