Hivi, hivo vigezo vinavyozungumzwa vya ustahiki wa kuwa mwanachuo ni vipi ?

Crownjunioral

Member
May 8, 2016
47
16
Takribani wiki moja sasa tangu nianze kusikia habari za kusitishiwa masomo kwa wanavyuo ambao hawana vigezo, mbali na hiyo wanatakiwa pia warudishe hela zote ambazo wameshapewa na serikali Kama mkopo kwa ajili ya masomo yao.
Je, vigezo hivo ni vipi ?
 
Back
Top Bottom