Hivi hili ni kosa jamani?

Hivi hili ni kosa jamani?

SWEEPER

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2012
Posts
269
Reaction score
89
Ndugu zangu akiwemo mama mzazi wamenichukia kwa kumkabidhi mke wangu tuliyeishi naye miaka 16 kusimamia biashara niliyoanzisha na mke wangu. Wana Jf nisaidieni kwa maoni, hili ni kosa au nilitakiwa kufanya nini ili ndugu zangu waridhike?
 
Ulitakiwa uwe unawasaidia ndugu zako
wawe na 'ugali wao' wenyewe
wasitegemee 'ugali wako na mkeo'....hapo ndo ulipokosea
 
Waeleweshe wajue msimamo wenu na aina ya maisha mliyo yachagua. Wasipoelewa basi piiiiiiga chini endeleeni na maisha yenu hamuwezi kumfurahisha kila mtu.
 
Hilo laweza kuwa kosa ama si kosa kutegemeana na MKEO ALIVO!!!!!!!!!!!! Je mkeo ni mjasiriamali? Je ataweza kuiendesha kwa faida hiyo businesss? Ofcourse kama ni mfujaji kama mama lara 1 lazima mama yako anune sababu wewe unatafuta mtaji kwa jasho sanaa afu unampa mtu business ambae anaigeuza kijiwe cha mashauzi!!!!!!!!!

My advice kwenye ishu za business usiangalie ubini sijui nani ni nani kwako, angalia ANAEWEZA KUIENDESHA KIFAIDA ZAIDI!!!! Bila hivo utakuwa kama mume wa mama lara 1, katoa mitaji ya biashara weeeeeeeee, faida hakunaaa!!!!!!.
 
Kuwa mwanaume ni pamoja na kuwa na uwezo wa kusimamia maamuzi ya familia yake na kuyatetea; sio kuyumbishwa na wanandugu.

Be strong, na onesha mpaka ni upi na let no one asikuingilie labda pale unapoomba ushauri tu. 16 years in marriage, bado mtu anakupangia jinsi ya kuendesha familia yako!
 
Mkuu kama unaamini kuwa mke wako anaweza kuisimamia vizuri, songa mbele,wakati mwingine ndugu wanarudisha nyuma maendeleo
 
Hilo laweza kuwa kosa ama si kosa kutegemeana na MKEO ALIVO!!!!!!!!!!!! Je mkeo ni mjasiriamali? Je ataweza kuiendesha kwa faida hiyo businesss? Ofcourse kama ni mfujaji kama mama lara 1 lazima mama yako anune sababu wewe unatafuta mtaji kwa jasho sanaa afu unampa mtu business ambae anaigeuza kijiwe cha mashauzi!!!!!!!!!

My advice kwenye ishu za business usiangalie ubini sijui nani ni nani kwako, angalia ANAEWEZA KUIENDESHA KIFAIDA ZAIDI!!!! Bila hivo utakuwa kama mume wa mama lara 1, katoa mitaji ya biashara weeeeeeeee, faida hakunaaa!!!!!!.

Lara 1? For Gods sake unamuonea. Ma wife hana hajui hata kama siku hizi kuna saluni za kucha. Kwa kifupi am in control of all finances
 
Lara 1? For Gods sake unamuonea. Ma wife hana hajui hata kama siku hizi kuna saluni za kucha. Kwa kifupi am in control of all finances

Its not about finances, its about OPERATIONS, CONNECTIONS, DEVOTION, MANAGEMENT na vitu kama hizo amabazo ni muhimu. Ujue business is all abt MANAGEMENT, inatakiwa hiyo business uliyomfunguli lets say ya 2M, if she is good inatakiwa after 2Years iwe imezaa 3 Zingine, au imexpand capacity ya kuearn revenues tripple!!!!!!! Kuliko business unampa leo then after 2 YRS bado INABREAKEVEN!!!!!

She might be good, ila inawezekana kuna member wa your family anaeweza kuirun BETTER!!!!!!!! All im saying in BUSINESS bana look for the manager who brings in more profits.

Ila kama umemfungulia wife kumkip busy its okay then you dont have to worry abt profits, na ndugu zako itabidi wakusamaheee.

You know them better!!!!!!! Ni ndugu zako na mkeo!!!!!!
 
pole mkuu umeoa unatakiwa kusimamia fmilia yako ndugu wakati mwingine wanaboma badala ya kujenga usipokuwa imara...... wao wanafamilia zao na nyumba zao wasipende kuingilia nyingine
 
Dawa ya ndugu siku zote uwajulishe mapema
'cha kwao ni kipi' na 'cha mkeo ni kipi'

waijue mipaka yao tu,hawakusumbui

Hawakusumbui ila WANANUNAAAAAAA HAO!!!!!!!!!!!!! Hawaji hata kununua kukuungisha katika hiyo biashara ya mkeo!!!!!!!!!!!

Afu kwanini watu wagumu kumkubali mke kama familia!!!!!!!!!! Yaani siku zote watamuona sio mwenzao, japo watoto wake watawaona wenzao ila yeye mke bado sanaaaaaaaaaa!
 
Kuna wake wengine wanapenda kuonesha 'mamlaka yao' kwa ndugu wa mume pia
so upinzani huu upo tu....
muhimu mwanaume uwasaidie ndugu zako wawe na maisha yao
mfano wasomeshe the best school possible ..,wape mitaji ya biashara
lakini wajue mali zako haziwahusu....bali mkeo anahusika zaidi
 
Hawakusumbui ila WANANUNAAAAAAA HAO!!!!!!!!!!!!! Hawaji hata kununua kukuungisha katika hiyo biashara ya mkeo!!!!!!!!!!!

Afu kwanini watu wagumu kumkubali mke kama familia!!!!!!!!!! Yaani siku zote watamuona sio mwenzao, japo watoto wake watawaona wenzao ila yeye mke bado sanaaaaaaaaaa!

Lara 1 u seem to understand my situation very well. Visa, maneno, sabotage utadhani hiyo business ni ya mtu baki. Kweli inanipa shida kuamini ingawa wanafahamu tangu awali kuwa biashara hiyo ni ya kampuni ya familia yangu na shareholders ni mimi na wife
 
Umejaribu Kuwadadisi,Ni Kwa Nini Hawamwamini Mkeo?
Nazani Kuna Sababu Inayowafanya Kuwa Na Ujasiri Wa Kuingilia Familia Yako Ktk Masuala Ya Uchumi!
 
Back
Top Bottom