Hivi hili nalo ni tatizo madoctor? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi hili nalo ni tatizo madoctor?

Discussion in 'JF Doctor' started by Pretty R., Jun 18, 2012.

 1. Pretty R.

  Pretty R. JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mimi nashindwa kuelewa kama ni tatizo kwani nimekuwa nikipata maumivu makali nikikaribia menstruation na nikiwa kwenye ovulation. Tiba yake ni nini maana napata maumivu sana, nina miaka 23, asanteni kwa mchango wenu.
   
 2. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,635
  Likes Received: 3,017
  Trophy Points: 280
  Pole mtoto mrito
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  Duh! Dr ww kiboko! Nielekeze clinic yako nije nagonjeka!
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  Mamito, maumivu ya tumbo la uzazi yanatokana na muscles contraction and relaxation ili kusaidia kuvunjika kwa ukuta wa damu (wakati wa hedhi) na kusafiri kwa yai kuelekea kwenye kizazi kutokea kwenye fallopian tube na ovary (wakati wa ovulation).

  Unaweza kujaribu kupunguza maumivu haya kwa kuwa na maisha active na kufanya mazoezi. Kama maumivu yanaendelea, unahitaji kumuona dr bingwa wa wanawake huenda kuna tatizo. Pole sana.
   
 5. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,635
  Likes Received: 3,017
  Trophy Points: 280
  Ukirudi njoo..utapata tiba mujarabu
   
 6. Pretty R.

  Pretty R. JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Asante King'asti ngoja nianze mazoezi maana sikuwa nalijua hilo.
   
 7. Pretty R.

  Pretty R. JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Asante King'asti ngoja nianze mazoezi maana sikuwa nalijua hilo.
   
 8. Pretty R.

  Pretty R. JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Asante sana Adharusi.
   
 9. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Infection, infection, infection...Pls see your doctor for evaluation and treatment
   
 10. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #10
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Kwa kiwango kikubwa hili tatizo litapungua kama ukijifungua.
  Kwa muda huu unaweza tumia dawa ya Nospasm inapatikana pharmacy.
   
 11. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #11
  Jun 19, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,402
  Likes Received: 685
  Trophy Points: 280
  Usigonjeke bana nyie bamutu ba Kongo ndio zenu kugonjeka banaaa,Mukuye huku fasi za kwetu murege mi dawa!!!
   
 12. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hii tunaita dysmenorrhea, wala halihitaji specialist, maumivu yakizidi sana, chukua diclofenac tabs 50mg tds anza siku tatu kabla ya kuanza hedhi na endelea mpaka siku tatu baada ya hedhi. Fanya hivyo wakati wote huwa inafika mahali maumivu hayo yanaisha.
  Maumivu yakizidi mwone Dr says Dr Mupirocin
   
 13. Pretty R.

  Pretty R. JF-Expert Member

  #13
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Asante kwa ushauri wenu nitaufanyia kazi maana kwa kweli ni zaidi ya tiba. Mungu awabariki sn muendelee kuwa msaada kwa wengine.
   
Loading...