Hivi hili nalo ni la kwel???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi hili nalo ni la kwel????

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sinai, Feb 18, 2011.

 1. Sinai

  Sinai JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 289
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  :sad::sad::sad:Jamani, naomba kupata experience yenu wanajamii! Kuna akina dada kadhaa nimewahi kuwasikia tena wengine ni leo hii kuwa wao wanachanganyikiwa sana na wanaume wanaovaa miwani, hapo wao wakitokewa tu na jamaa mwenye kuvaa miwani, basi moja kwa moja wanawakubalia!!!!!!!!! Je akina dada kunaukweli hapo? Na je mnawapenda wanaovaa miwani ya fasheni tu, au hata ile ya ugonjwa wa macho?

  Nawakilisha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:embarrassed::embarrassed::embarrassed:
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Feb 18, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Mimi navaa miwani (ya ugonjwa wa macho) simpendi mwanaume anayevaaa miwani (ya ugonjwa wa macho) kabisa

  Labda tusubiri wasiovaa watupe experience zao
   
 3. Barbie Maliposa

  Barbie Maliposa Senior Member

  #3
  Feb 18, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  me sivai miwani na sina formula,bcoz i believe kuvutiwa na mtu ni something that comes naturally.Naeza vutiwa na yeyote.
   
 4. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2011
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Yaani mapenzi ya miaka hii ni balaa kabisa......sasa hapo anapendwa mtu au miwani?? na ya kivunjika?? Duu hii kali
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Kwani wewe unavaa ??
   
 6. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,096
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  SIMPLE, IKIVUNJIKA NA MAPENZI YAMEISHA.:msela:
   
 7. H

  Hardwood JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 851
  Likes Received: 479
  Trophy Points: 80
  Hivi guts za kujadili mapenzi wakati huu wa msiba mkuu wa taifa mnazitoa wapi wajemeni??? Naomba kuliko kupoteza muda hapa ni bora hata kutiana shime ni jinsi gani tutawasaidia wenzetu waliopatwa na maafa ya mabomu kule Gongo la Mboto.
   
 8. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #8
  Feb 18, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Na wewe tayari ushapoteza muda kuandika haya uliyoandika.

  MAISHA LAZIMA YAENDELEE NO MATTER WHAT
   
 9. Dinnah

  Dinnah JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hahahahahahahahaahahahahaaaaaaaaaaa duh umeniacha hoi
   
 10. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #10
  Feb 18, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  usharobaro tu..hamna lolote!
   
 11. B

  Bulletmanpaul Member

  #11
  Feb 19, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo hakuna upendo kabisa dem gani ananipenda coz naji2piakiwani.
   
 12. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #12
  Feb 19, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Du jamaa yangu yapo majukwaa mengi mm naona ww uende kwenye Siasa au International au MOD akuanzishie la Rambirambi, majonzi uweke huko yooote Mbagala MV Bukoba
  sisi tuache tujimwayemwaye huku kwani kwenye siasa na ushabiki wa nani ajiuzulu, aachie ngazi, hafai uspika kwa ajili ya mabomu hatutaki asilani na hatuwezi.
  TUSUBIRIANE MAJUKWAA MENGINE TUTAKAPOINGIA NA KUKUNJA NDITA
   
 13. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #13
  Feb 19, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  duuu.... Mbona hii kal kama wanachanganykiwa mbona mm ninavaa miwan lakn cjaona
   
 14. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #14
  Feb 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Duh!
   
 15. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #15
  Feb 19, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  tena DUH kubwa ndugu yangu.
   
 16. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #16
  Feb 19, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Na wanawake tunaovaa miwani huwa mnachanganyikiwa juu yetu eeh?
   
 17. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #17
  Feb 19, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Labda km ni miwani ya fasheni, binafsi natumia miwani yenye 'progressive lens' na frame isiyokuwa na rim (worth Kesh 45,000 but no girl ever look at me twice.
   
Loading...