Hivi hili linawezekana likawa na ukweli jaman?

Ndoo maana watu wengine wanaamua kula ukameruni nasikia hakuna mizegwe kila mtu ana mmoja tu,kama vipi j.i.u.n.g.e. Huko.
 
Wadau,eti kuna rafiki yangu amebreak na gal wake hata week haijapita,jamaa kammiss gal,kajipendekeza kumpgia sim,gal kapokea fresh,ila ndo hvo mmanzi kamwambia mshkaji tayari ana mtu mwingne,hvi inawezekana kwel ndan ya wk mtu abreak na kudate na jamaa mwingne au maghumashi tu?


Inawezekana sana tayari kampata mtu mwingine, ingawa muda mwingine amelazimika kujibu hivyo kama roho imeumia sana na imeshakubali kuachana na huyo mtu moja kwa moja na hataki kurudia matapishi.
 
Ndoo maana watu wengine wanaamua kula ukameruni nasikia hakuna mizegwe kila mtu ana mmoja tu,kama vipi j.i.u.n.g.e. Huko.

Wewe pia upo huko kwenye kula ukameruni au wamshauri tu mwenzio mabaya!
 
unamaanisha jamaa yako katolewa mbavuni na huyo mdada mpya aliyemtegemea, akaamua kurudi fasta kwa aliyemwaga?
mbona mdada hana kosa hapo kwa chochote atachoamua, jamaa yako ana njaa sana na wadada...
mshauri jamaa yako aache kuongozwa na tamaa...
 
hv kuna mtu anakaa kwenye mapenzi kwa kujiachia siku hzi? Mapenzi ni game ,game la watu wawili, na footbal ni game la watu 11 ila wachezaji kwenye kikosi wapo zaidi ya kumi na moja kuna reseve player same na kwenye mapenzi .
Ukichoka ukitoka nje kipenga kinalia mchezaji mwingine anatoka bench game linaendelea kama kawa
 
inawezekana kabisa kwa viruka njia. Mnaachana leo kesho anatoka na mwingine ALIYEKUWA KWENYE LIST ya kupewa nafasi.

Hapo kiruka njia ni nani na kipita/kikanyaga njia ni nani? Men with their perceptions (nimeassume wewe ni male kulingana na post yako). Ila ukiamua kuacha uache na si utikise kiberiti, hizi si zama za kutishiana
 
Huyo jamaa alikua anampotezea muda dada wa watu. naamini kuwa huyo dada alikua amejishikiza kwa taabu sana. jamaa alipo mpa nfasi
dada kaitumia vizuri.. hili kwangu ni funzo zuri sana wakuu, nahakikisha wangu simpi nafasi ya kusepa. jamaa ishakula kwake;
mwambie atafute mwingine hapo hana nafasi tena alikua kaegeshwa njia panda.
 
Halafu mbaya zaidi,mmanzi toka jana hapatkani kwenye P.o.box zake zote?
 
Hata gari huwa zina tairi ya spea. Unanchekesha!

Kwani alimuoa? kheee! yeye kampataje wenzake washindwe?
 
he he he ,naona mshikaji aliamua kuringa kama tevez alafu mambo yakamuendea kombo....kuna watu wana wapenzi kwenye reserve,ukichemsha tu anampa chance mwengine
 
Nimeongea na Mdada hapa jirani na ninapoishi, nimemsimulia hiki kisa, yeyevkaniambia mbona wiki ni siku nyingi, kama ni yeye, hata siku haiishi, kapata mwingine, mbona wanaume wako wengi tu........................ kazi tunayo
 
bandika bandua, mwendo wa kisasa. Ukisema wa nini, mwenzio anasema atampata lini.
 
Back
Top Bottom