Hivi hili linawezekana likawa na ukweli jaman?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Wadau,eti kuna rafiki yangu amebreak na gal wake hata week haijapita,jamaa kammiss gal,kajipendekeza kumpgia sim,gal kapokea fresh,ila ndo hvo mmanzi kamwambia mshkaji tayari ana mtu mwingne,hvi inawezekana kwel ndan ya wk mtu abreak na kudate na jamaa mwingne au maghumashi tu?
 
inawezekana kabisa kwa viruka njia. Mnaachana leo kesho anatoka na mwingine ALIYEKUWA KWENYE LIST ya kupewa nafasi.
 
Wadau,eti kuna rafiki yangu amebreak na gal wake hata week haijapita,jamaa kammiss gal,kajipendekeza kumpgia sim,gal kapokea fresh,ila ndo hvo mmanzi kamwambia mshkaji tayari ana mtu mwingne,hvi inawezekana kwel ndan ya wk mtu abreak na kudate na jamaa mwingne au maghumashi tu?

Senetor inawezekana kabisa. Ukiona hivyo alikuwa anakusubiria useme no awali.
 
Kwani huyo rafiki yako hakujua kwamba siku zote huwa kunakuwa na waiting list? Kama alikuwa anatikisa kiberiti, itakuwa imekula kwake!
 
Kwani huyo rafiki yako hakujua kwamba siku zote huwa kunakuwa na waiting list? Kama alikuwa anatikisa kiberiti, itakuwa imekula kwake!

mzee unaongelea waiting list, watu wanawekwa kwenye tossing list, yaani wote mnakuw kwenye chain ya maloveeee, ni mtu tu anaamua wakati gani akitue kidumu au ndoo ipi. Inapotokea mwenyewe unajidai sijui una mihasira ndo ile stori ya kuvuja kwa pakacha nafuu ya .......
 
mi ndo maana huwa najiaminisha kwamba am not just alone kwenye haka ka game ili niondokane na ma puresha bure!
 
Back
Top Bottom