Hivi hili la Dstv sio jipu kweli?

Hivi hili la Dstv sio jipu kweli?

Me nawaza tu mwenyewe hapa je mtumbua majipu halioni hili la dstv kuwa ni jipu linalotunyonya sisi wananchi?
Maana wanakamua hela kuliko kodi ya Nyumba kwa mwezi na Salio likikata hata chanel za nchini za kawaida nazo hazionekani
Kweli tunaibiwa na mhe Rais hili jipu tunaomba ulitumbue jipu hili. Bei za South zinapangwa kwa mwaka na hazibadiliki na wanalipa kwa Rand. Bei ya premium ni mara 2ya bei ya huku. Tunalipa kwa usd na kila siku bei zinapanda tu
 
Attachments

  • 1451138029336.jpg
    1451138029336.jpg
    49.1 KB · Views: 423
I strongly support Waziri anayehusika na hii biashara ya Dstv atusaidie kwa sababu hawa Dstv hawafanyi biashara ya haki hata kidogo. Monthly subscription fee hasa premium imekuwa a big challenge kwa watanzania walio wengi, kwanza bei zao ziko kwa dollars kitu ambacho mimi nakipinga na bei ziko juu mno zaidi ya laki mbili, hii ni kuwaumiza wananchi wetu.
 
aisee ni kweli. nilienda zenji na mtwara naona wanakula epl kwa kiarabu. sijui kwa Dar napataje huduma hiyo

Nunua dish mkuu, wadau wanazo frequency especially mafundi madish.
 
Ukijaribu kuwalipa kwa m-pesa hela yako inarudishwa.Ukiuliza wanakata simu. ni jipu.
 
kwani lazima utumie.soko huria kaka

Tatizo ni kuwa wame monopolies soko, wako pekee yao tu, kwa hapa tz, kuna kipindi watu walikuwa wanapata kupitia tv fulani ya uarabuni wakagoma kabisa kuwa wao ndio wenye haki pekee ya kuonyesha ligi ya england, kusini mwa jangwa la sahara, nakweli, wakashinda, ila ni kwa dar tu ndio watu wanapata shida, ila kwa mikoani huduma ya cable inasaidia sana, na malipo yake hayazidi elfu 15,kwa mwezi.
 
aisee ni kweli. nilienda zenji na mtwara naona wanakula epl kwa kiarabu. sijui kwa Dar napataje huduma hiyo

Nunua king'amuzi cha media com na dish kubwa. Tafuta mtaalamu wa madishi akusetie PTV Sport. Hapo unakula Premier na Ligi nyingine live bila chenga. Hakuna malipo yeyote.
 
Me nawaza tu mwenyewe hapa je mtumbua majipu halioni hili la dstv kuwa ni jipu linalotunyonya sisi wananchi?
Maana wanakamua hela kuliko kodi ya Nyumba kwa mwezi na Salio likikata hata chanel za nchini za kawaida nazo hazionekani

Kweli bwana hili hip limeiva kabisa
 
Tatizo ni kuwa wame monopolies soko, wako pekee yao tu, kwa hapa tz, kuna kipindi watu walikuwa wanapata kupitia tv fulani ya uarabuni wakagoma kabisa kuwa wao ndio wenye haki pekee ya kuonyesha ligi ya england, kusini mwa jangwa la sahara, nakweli, wakashinda, ila ni kwa dar tu ndio watu wanapata shida, ila kwa mikoani huduma ya cable inasaidia sana, na malipo yake hayazidi elfu 15,kwa mwezi.

Malipo ni elfu kumi tu baba
 
Back
Top Bottom