benwise
Senior Member
- Oct 24, 2015
- 101
- 78
Habari zenu wote humu.Kuna rafiki yangu anasoma kozi fulani kwa ngazi ya diploma kwenye chuo kimoja huko mkoani ambacho sio cha serikali.
Wakiwa wanaingia mwaka wa mwisho saiz wametakiwa kupeleka vyeti vyao original vya form four kwa ajili ya uhakiki na wanadai vinaenda necta kuhakikiwa na watarudishiwa mwakani wanavyomaliza.
Hivi jambo hili lipo kweli na linawezekana au kuna mchezo unaoendelea?kwa sababu tunajiuliza kama ikitokea ameachana na kozi ile akahitaji chuo kingine atafanyeje kwa suala la cheti na cheti kinarudi mwakani.Naomba wajuvi mnisaidie je jambo hili linawezekana au tunazungukwa na chuo hiki?