Hivi hili gorofa limefikia hatua ya mwisho serikali ilikuwa wapi?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,809
34,193
East Africa Television (EATV)

Waziri wa ardhii, William Lukuvi, ameiagiza halmashauri ya Manispaa ya Ilala, kutekeleza amri ya kuvunja jengo la ghorofa 16 lililopo kati kati ya jiji la Dar es salaam, ambalo limebainika halifai kwa matumizi ya binadamu.

Nini maoni yako?

LUKUVİ.png
 
View attachment 316891
Nakumbuka maneno ya Mwalimu JK Nyerere RUSHWA NI ADUI WA HAKI. Rushwa ilikithiri sana kwenye taasisi za umma kiasi kwamba kuathiri utendaji wa kazi na kutoa stahiki kwa Watanzania. Hapa ndio tulipofika na hakuna namna lazima tufuate sheria na kanuni za Nchi.
 
Tahadhari kabla ya hatari.

Bora hasara ya Pesa kuliko watu kupoteza maisha kizembe
 
mmh ila hilo jengo kwa kuliangalia tu linatisha..ni kama halina balance ya kueleweka hivi..!!watu walikuwa wanapandisha tu kama wanapanga viberiti..!!
 
Last edited:
Tuliruhusu wanasiasa kuwa na nguvu kuliko wataalam huku yule mkwere wa Msoga akiiacha nchi kwenye autopilot. Hii itakuwa fursa nzuri sana kwa watanzania kwa miaka mingi ijayo kuelewa umuhimu wa kufuata sheria
 
Du kweli babu mimi hâta hapo chinois sipiti aisée mafundi wana roho ngumu
mmh ila hilo jengo kwa kuliangalia tu linatisha..ni kama halina balance ya kueleweka hivi..!!watu walikuwa wanapandisha tu kama wanapanga viberiti..!!
 
Baada ya kuona wanasiasa wanapiga madili kupitia kwenye migongo yao,wataalam nao wakashindwa kuvumilia wakaona ushenzi, nao wakaanza kupiga madili.Duh,mambo yakaharibika,nchi ikaangamia.Tutaweza kuirudisha kwenye mstari?Time will tell.
Tuliruhusu wanasiasa kuwa na nguvu kuliko wataalam huku yule mkwere wa Msoga akiiacha nchi kwenye autopilot. Hii itakuwa fursa nzuri sana kwa watanzania kwa miaka mingi ijayo kuelewa umuhimu wa kufuata sheria
 
East Africa Television (EATV)

Waziri wa ardhii, William Lukuvi, ameiagiza halmashauri ya Manispaa ya Ilala, kutekeleza amri ya kuvunja jengo la ghorofa 16 lililopo kati kati ya jiji la Dar es salaam, ambalo limebainika halifai kwa matumizi ya binadamu.

Nini maoni yako?

View attachment 316891

MziziMkavu bwana, yaani mwenzetu sijuwi unaishi wapi....Tanzania hatukuwa na serikali miaka 10 iliyopita, kulikuwa hakuna sheria na ndiyo maana kila mtu alikuwa anajifanyia atakayo. Watu wa TRA walikuwa miungu watu na wenye mamlaka zaidi ya rais, vibaka walikuwa wanaongoza nchi, yule ambaye ilibidi awe rais wetu alikuwa anachukua mafunzo ya u-pilot na ndiyo maana kila kukicha alikuwa angani kujifunza namna ya kurusha Boeing 767 Jetliner/Airbus. Kawaida, watu wanajifunza mwaka mmoja au miwili, yeye alichukua miaka 10 na sidhani kama amefaulu mtihani wenyewe maana nasikia anatafuta nafasi zingine za mafunzo.
 
Mmiliki wa gorofa hilo ni nani?nahisi mpaka sahvi atakuwa amelazwa kwa kupatwa na presha....?
Mwenye gorofa hilo anaitwa mzee RAZA ndie mwenye zile POP IN HOTELS ana gorofa zingine mbili na nyingine anaishi yeye na wapangaji.
 
Mwenye gorofa hilo anaitwa mzee RAZA ndie mwenye zile POP IN HOTELS ana gorofa zingine mbili na nyingine anaishi yeye na wapangaji.
Duh pole yake aise ila ndy wakome kufanya ujenzi holela
 
Back
Top Bottom