ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 43,635
- 90,030
Umenichanganya tayari hizo katuni hata sijazielewaKama wewe Eli
Umenichanganya tayari hizo katuni hata sijazielewaKama wewe Eli
Hizo interviews zake zilikuwa adhok au planned? Ukishapata majibu ya hayo utajua kuwa anything planned has deceiving tendency.
Umepata kazi? Hii ni ngumu sana lakini upatikanaji wa kazi wake pia ni mgumu hata huku nilipo. Masaa ya kufanya kazi pia ni mengi tofauti na kazi nyingine.
Mimi kwenye kazi nimeswitch nafanya kama "data analyst". Niliona ni mapema sana kuspecialized kwenye my career.
Kwa mwanzo tunapambania maslahi career tunaweka kando. Tukishakuwa na misingi mizuri ndio tunaingia kwenye career.
Walikuwa wanataka ashuke kama prof LumumbaUkitaka prof. Aongee terminologies usizozielewa ?
Kama havina uhusiano unadhani kaongea cha nini?Wakuu Kiingereza na Uprofessor vina uhusiano gani?
Professor wa Mathematics na Fluent English kuna uhusiano gani?
Almost my whole university life nimefundishwa na Ma Prof. Wengi ambao ni wa mambo ya sayansi.. wote wanaongea kiingereza cha kawaida tu.
I see no problem there.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumekuelewa ndalichakoKakosea wapi au umekariri sound za filamu za kifilipino unataka mama aongee hivyo au ujui kuna east africa english ujui acheni ushamba wenu mama kakosea nini fluent inawadatisha mama anatoa sentensi zenye maana na hazina makosa kisarufi uko kuongea kwake kwa kustop stop ndio hajui au msimchukulie pouwa mama yupo vizuri
acha kumtetea,kwa msomi yeyote aliyefikia ngazi ya uProfesa ni lazima awe anajua kiingereza kwa kusoma na kuongea kwa ufasaha.Vinginevyo ni janja janja tu.Mbona kajitahidi sana kuongea kizungu, tatizo ni mifumo yetu ya elimu ni mibovu, watoto tunapokuwa nyumbani ni kiswahili kwa kwenda mbele, tukifika shuleni (sekondari) ni kiswahili kwa kwenda mbele tukiingia darasani ni Kiswanglish (kiswakinge) kwa kwenda mbereee, sasa ni lini tunaweza kuwa good at English??!🤣
acha kumtetea,kwa msomi yeyote aliyefikia ngazi ya uProfesa ni lazima awe anajua kiingereza kwa kusoma na kuongea kwa ufasaha.Vinginevyo ni janja janja tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni changamoto.Kazi hakuna na ukiajiriwa hawakuchukii kama acturial unaenda kafanya kazi za watu wa insurance kibongobongo hii koz michosho yahn bado sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni changamoto.
Lengo kuu ni mawasiliano, sijui mlitaka azungumze kama mwingereza!
Kiingereza kikifikia pale hakina umuhimu kwa majority!Walikuwa wanataka ashuke kama prof Lumumba
Hizi sizijui, umesoma ipi wewe?Ni changamoto Kuliko course za Mesmerism and Hypnotism? ?
Umeamua kuleta tu ubishi ila prof kapuyangaIna impact gani negative akishindwa kutamka? Ishu ni kujua kiingereza au kutimiza majukumu yake?
Kwa hoja hii ili mtu awe kiongozi mkubwa ajue kiingereza fluent?
Hujui kiingereza weweNaona kaongea Kiingereza kinachoeleweka mbona, hautegemei aongee kama mzungu, maana muda mwingi anazungumza Kiswahili