Hivi hii ya Waziri Mkuu imekaaje?

Hivi hii ya Waziri Mkuu imekaaje?

Kuna viti maalumu mmoja ccm alisema ataleta hoja binafsi ya kutaka yale maswali kwa pm yaondolewe, nadhani wamemtumia yule ili waipitishe ile hoja kijanja, na akadai yale maswali yanamdhalilisha pm. Ila hii inampunguzia sifa mbele ya wananchi, jamani ccm inajimaliza kila kukicha. Yangu macho.
 
Back
Top Bottom