Izzi JF-Expert Member Nov 30, 2016 553 1,133 Jan 8, 2017 #1 Maana mie kiukweli siielewi elewi! Lakini.. itafika mahali hakuna ataetaka kushauri au kusema chochote zaidi ya mmoja tu, Sizonje.(mtoa mada yeye.. mchangiaji yeye na mhitimishaji yeye) Hivi kwanini lakini?
Maana mie kiukweli siielewi elewi! Lakini.. itafika mahali hakuna ataetaka kushauri au kusema chochote zaidi ya mmoja tu, Sizonje.(mtoa mada yeye.. mchangiaji yeye na mhitimishaji yeye) Hivi kwanini lakini?
Elungata JF-Expert Member Jan 28, 2011 40,202 33,263 Jan 8, 2017 #2 Tulishakataa kupandisha umeme, hivi huyu Mramba alikuwa haelewi somo?