jonas255
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 225
- 109
Habari wana jf..
Nimefuatilia hotuba ya waziri mkuu na amepinga uuzaji wa viroba kuanzia tarehe 1 machi mwaka huu... Sasa kwa style hii viwanda vinavyozalisha viroba si vitayumba kiuchumi?
Je wafanyakazi wao si ndio watazidi kupunguzwa? Kwa style hii nahisi wananchi wataishi maisha magumu sana maana wanywaji wa hivi viroba ni watu wa hali ya chini wasioweza kununua pombe za bei ghali...
Kwa mtazamo wenu wadau... Hii serikali itatufikisha kweli kwenye uchumi wa viwanda kweli?