Hivi hii ni mimi peke yangu tuu?

Hivi hii ni mimi peke yangu tuu?

Kwahiyo we hutaki aliwe wakat ye anataka
 
Kuna mdada nimekutana naye wiki hii anafanana sana na Mama yangu pia na mdogo wangu wa kike. Vijana mbalimbali wahuni wanamtongoza ( ofcourse wanataka wamchezee), nimejikuta roho yangu inauma kweli maana namuona kama ndugu yangu kabisa.

Na hii si mara ya kwanza, huwa nikikutana na mtu anayefanana na Mama yangu au ndugu zangu wa kike automatically napata ule upendo wa kindugu , kama ana shida naiona kama ya ndugu yangu , kama anataka afanyiwe ubaya kama wa hapo juu naona kama mdogo wangu anataka kufanyiwa.

Hizi hisia huwa zinawakuta wengineo humu?
Kachukue fomu kwanza
 
Hilo pepo la Undugulization nenda kaombewe kwa mwamposa Bulldozer
 
Kuna mdada nimekutana naye wiki hii anafanana sana na Mama yangu pia na mdogo wangu wa kike. Vijana mbalimbali wahuni wanamtongoza ( ofcourse wanataka wamchezee), nimejikuta roho yangu inauma kweli maana namuona kama ndugu yangu kabisa.

Na hii si mara ya kwanza, huwa nikikutana na mtu anayefanana na Mama yangu au ndugu zangu wa kike automatically napata ule upendo wa kindugu , kama ana shida naiona kama ya ndugu yangu , kama anataka afanyiwe ubaya kama wa hapo juu naona kama mdogo wangu anataka kufanyiwa.

Hizi hisia huwa zinawakuta wengineo humu?
Je hiyo hali ya huruma yako huwa unaipata ata pale unapokutana na msela anayefanana na baba yako au kaka yako tuanzie hapo kwanza.
 
Back
Top Bottom