Hivi hii ni mimi peke yangu tuu?

el nino

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
4,712
5,033
Kuna mdada nimekutana naye wiki hii anafanana sana na Mama yangu pia na mdogo wangu wa kike. Vijana mbalimbali wahuni wanamtongoza ( ofcourse wanataka wamchezee), nimejikuta roho yangu inauma kweli maana namuona kama ndugu yangu kabisa.

Na hii si mara ya kwanza, huwa nikikutana na mtu anayefanana na Mama yangu au ndugu zangu wa kike automatically napata ule upendo wa kindugu , kama ana shida naiona kama ya ndugu yangu , kama anataka afanyiwe ubaya kama wa hapo juu naona kama mdogo wangu anataka kufanyiwa.

Hizi hisia huwa zinawakuta wengineo humu?
 
mimi kuna mdada nilikuwa nampenda nikawa nikimuangalia naona kabisa hata mama yangu atampenda maana alikuwa na sifa karibu zote ambazo mama yangu huwa anapenda,yani kwa kifupi she was that kind of a woman i could take home and say “mama,huyu hapa mke wangu”
Enhe ikawaje Sasa endelea au wakulungwa walipita nae wakampa na kibend juu
 
Mmh ni wewe tu mkuu, narudia tena, ni wewe tu.



Let's meet at the top, cheers 🥂
 
wee jamaaa ni mbinafsi sanaa yaani una jiskia vibaya mtu anayefanana na ndugu yako tu vipi kuhusu wengine wasiofanana na nduguzo?
 
wee jamaaa ni mbinafsi sanaa yaani una jiskia vibaya mtu anayefanana na ndugu yako tu vipi kuhusu wengine wasiofanana na nduguzo?
Its human nature kuwa wabinafsi ndio maana misiba na ajali zinatokea kila siku ila wewe haulii kila sila siku , probably utalia kama ndugu au mtu wako karibu yamemkuta.

Na kimsingi hao watu wengine nawapenda ila ni upendo wa kawaida lakini sio ule wenye nguvu kama wa ndugu
 
Back
Top Bottom