Hivi hii kampuni ya PCSP Mwanza ni matapeli?

Mmmh! Hawa ndo wako karibu na Nyanza S.Msingi au amref au wengine kabisa hawa? Nasi watz tumezidi yaani kila kitu rushwa tu!
 

Duh hii inauma sana
 
Hawa jamaa ni matapeli wakubwa. Mimi walinipiga laki 4. Nilikuwa nataka kazi hapo. Kuna jamaa anaitwa Tinga ni malaya sana ameshafanya mapenzi na wasichana wengi waliokuja kuomba kazi hapo. Inasemekana kesha kanyaga miwaya maana anakula zile dawa. Kuna huyo Singo halafu kuna jamaa anajiita inspekta Ngaiza yeye ndo afisa usalama wao yaani wizi mtupu.
Serikali hii inashiriki katika utapeli huu? Kwanini wananchi tusiamini kama kuna mkono wake? Tumetoa taarifa polisi mpaka tumechoka hakuna utekelezaji.
 
Hawa jamaa noma,juzi kati walitaka mwingiza mkenge ps, wangu,kaja na mifomu kedekede ikionyeshaa dolari atakayokuwa analipwa anataka aache kazi,ndiyo ni kampa taarifa zao kwa undani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…