Bintiwangara JF-Expert Member Joined Jun 30, 2013 Posts 551 Reaction score 287 Jun 4, 2014 #41 mh,kusema kweli sijawahi kukorofishana na mpenz wangu kiasi cha kufikia hapo,,huwa tunakorofishana sekunde,,harafu sekunde tunapatana,,na huwa inatokea haturuhusu usiku mzima upite bila kupatana na kusamehehana
mh,kusema kweli sijawahi kukorofishana na mpenz wangu kiasi cha kufikia hapo,,huwa tunakorofishana sekunde,,harafu sekunde tunapatana,,na huwa inatokea haturuhusu usiku mzima upite bila kupatana na kusamehehana
mashauridr Member Joined Jan 24, 2012 Posts 15 Reaction score 3 Jun 4, 2014 #42 inatokea na ikishafikia hatua hiyo tafuta njia nyingine ya kukuweka huru bila hivyo ni hatari unaweza shindwa kufanya mengine ya msingi
inatokea na ikishafikia hatua hiyo tafuta njia nyingine ya kukuweka huru bila hivyo ni hatari unaweza shindwa kufanya mengine ya msingi