Hivi hii inaweza ikawa ni kweli?

Hahahaha December kulikoni, kuna ka ukweli hapo hahaha
 
Hivi bi'mkubwa,hapo Mkuranga upo pande zipi road au upo ndani ndani kabisa .......... Maana nataka nije nikupe hi,maana ndio njia yangu hiyo.
KM 22 kutoka Mkuranga mjini kama unaenda Kisiju, uliza kwa Mkanada. Lakini kwa sasa sipo, nakula barafu tu, In sha Allah baada ya siku kumi ntakuwa Mkuranga.
 
may.

kuna kaukweli kwenye Jan.my best friend alizaliwa Jan mmmhhh he seem to be intelligent naendelea Kumsoma ila niko karibu na ukweli.
 
Haiwezi kuwa kweli mkuu.
Usishawishike kisa wameandika
ki romantic.
 
KM 22 kutoka Mkuranga mjini kama unaenda Kisiju, uliza kwa Mkanada. Lakini kwa sasa sipo, nakula barafu tu, In sha Allah baada ya siku kumi ntakuwa Mkuranga.
Nikupe hongera tu,maana watu wa maeneo hayo wana miliki ma hekari ya ardhi,naamini na wewe una booooooooonge la mbuga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…