Hivi hii inaashiria nin wakuu?

Hivi hii inaashiria nin wakuu?

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,082
Reaction score
2,358
Wakuu,leo kuna kitu cha ajabu kimenitokea.kuna my x flani nliachana nae toka mwaka jana mwez november,tangu wakati huo sikua na mawasliano nae ya aina yoyote ile.sasa leo nlikua nimejilaza kitandani,mara nkajikuta 2 nimeanza kumfikiria yeye baadae kama nkawa nimepitiwa hvi na usingizi,nilivoamka nkakuta kuna text imeingia kwenye cmu yangu yenye number mpya yenye ujumbe kwamba anahc kunimiss sana,well kabla cjaamua kumpigia niliangalia hyo number kwenye m-pesa ili kujua alikua ni nan,nkakuta ni jina la yule x wangu then me nkaamua kumpigia,tumeongea mengi sana then tukaagana.sasa tangu muda huo nimejikuta nawaza,iweje nimfikirie mtu ghafla afu na yeye from no where awe ananifikiria,inaashiria nin hyo wakuu?
 
Either TELEPATH au SUBCONCIOUS MIND at work............GOOGLE hizo terminology utaelewa tuu...
 
That means both of y'all are still in each other's system.
 
Either TELEPATH au SUBCONCIOUS MIND at work............GOOGLE hizo terminology utaelewa tuu...

subconc ni sehem ya ubongo inayo save anythng in ua life span,haijalisha hata kama sehemu ya ubongo inayoitwa concious kama imesahau,haya mamb yapo kisaikologia zaidi
 
pia naona kama mlipeana likizo ua tyme 2start again ua game!!!!!
 
Ushapigwa Limbwata kijana! Ile unamfikiria ndo alikuwa anataja jina lako kwenye TV asilia na kukualika KIKATIBA zaidi! Ulivopitiwa usingizi ndo kakukoleza! Hapo umeamka kakutext ili anajua uko nyanga nyanga hujiwezi tena!

We hushangai mtu jana hukuwa hata unamuwaza ghafla all u think about is her! her! her! n more her!
 
Ni kitu ya kawaida tu mkuu...labda kwa kuwa huyo mtu alikua ni maalumu sana kwako ndio maana imekupa shida.
 
Inaashiria ni mkeo huyo, so make it happen!
 
subconc ni sehem ya ubongo inayo save anythng in ua life span,haijalisha hata kama sehemu ya ubongo inayoitwa concious kama imesahau,haya mamb yapo kisaikologia zaidi
teh mkuu..pole sana...kwa hiyo subconcious mind haihusiki na saikolojia???
97% of all psychology of a person is monitored by subconscious mind...
 
Limbwata at work.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ushapigwa Limbwata kijana! Ile unamfikiria ndo alikuwa anataja jina lako kwenye TV asilia na kukualika KIKATIBA zaidi! Ulivopitiwa usingizi ndo kakukoleza! Hapo umeamka kakutext ili anajua uko nyanga nyanga hujiwezi tena!

We hushangai mtu jana hukuwa hata unamuwaza ghafla all u think about is her! her! her! n more her!
Tehe tehe ......dogo hujatulia weye!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom