Ye cio sababu coz iyo hali ilianza ata kabla ya kuachan nimezunguk kwa waganga naambiw kun mchez umefanyik ko sijui
😳😳 umeanza uchawi mapemaaaYe cio sababu coz iyo hali ilianza ata kabla ya kuachan nimezunguk kwa waganga naambiw kun mchez umefanyik ko sijui
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchezo umefanyiwa wapi? Nenda ufanyiwe maombi tatizo lako litakoma chuo usiache.Ye cio sababu coz iyo hali ilianza ata kabla ya kuachan nimezunguk kwa waganga naambiw kun mchez umefanyik ko sijui
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji15][emoji15] umeanza uchawi mapemaaa
Nimefanyiw sana hamn kinachoendelea ila huu mkoa niliopo maisha magum sana ila perfomance,yangu nzur,san shida n iyo tuMchezo umefanyiwa wapi? Nenda ufanyiwe maombi tatizo lako litakoma chuo usiache.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi mitihan nafaul san na kama chuo wangekuw wanapanga matokeo bas ningewez kuwa wa kwanza,au wa pili kwasab tunavyosainishwa,course work nasain wa kwanza,au wa pili na wanafunz tupo 50hiyo hali ilinipata nilipofanya pepa ya kwanza first year test nikapata 3/20.
Ila iliisha baada ya kujichanganya na kugundua sio ishu saana, chuo unatakiwa kutopanic hata kama mambo hayaendi vizuri baadae huwa yanajiset.
usikate tamaa
Upo chuo gani, Kipo wapi?Mi mitihan nafaul san na kama chuo wangekuw wanapanga matokeo bas ningewez kuwa wa kwanza,au wa pili kwasab tunavyosainishwa,course work nasain wa kwanza,au wa pili na wanafunz tupo 50
Sent using Jamii Forums mobile app